Ni hatari Sana KWa mwenye pumzi jitoa hufaham,kisa maisha na anasa za Dunia,Mtajuta siku

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
5,979
6,782
Wakuu Mungu awe pamoja nanyi,
Kwenye mada moja kwa moja


Tz tupo wazee,vijana wa kike na kiume , ila Kama nguvu KAZI ya Taifa hili ,tumebaki tu, capacity yetu ya kushauri, kuelimisha imebaki tu, tupo Kama mariboti, tumekalia majungu , ubinafsi wa familia zetu ,ndugu ,matumbo yetu badala ya Taifa letu KWa vizaji vijavyo, hii hawausu wanaccm , au vijana nje ya ccm, bali Taifa KWANZA mengine badae

Leo tuna watu hasa vijana , wameanza ona chama Ndo KILA kitu ,katiba ya chama Ndo KILA kitu, cheo kwao Ndo kila kitu, OFISI kwao Ndo KILA kitu ,nje ya katiba ya Jamhuri ,hii ni hatari Sana, tena Sana


Leo katiba ya chama flani Ndo yaonekana ni katiba ya Nchi, sio sawa kabisa bali tunaalibu Nchi KWa mikono yetu wenyewe bila kujali watoka Chama kipi, ila elewa kizazi Chako kipo na kitakuepo hata ukifa kesho


Nini Cha kufanya


1, hatujachelewa bado maisha yapo na sio ombi bali lazima kubadilika, tujue KWAMBA Taifa ndo kila kitu, mengine badae

2,LAZIMA KATIBA MPYA ILI TUWE SHAPED VIZURI

3,PUNGUZENI SIFA KWA VIONGOZI WA NCHI, ILA SIFU KIASI INAPOBIDI

MWISHO

TZ ni Taifa letu wote , tulilinde KWa wivu mkubwa KWANZA mengine badae

Thanks
 
Hili limama sijui kwanini lisife badala ya kubaki hai likitesa watu wasio na hatia. Linaudini hata umalaya hili lazima litakuwa changudoa tu
 
Back
Top Bottom