Ni harusi ya paul Makonda na sio Nape | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni harusi ya paul Makonda na sio Nape

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sweetlol, Oct 21, 2011.

 1. S

  Sweetlol Senior Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jaman aliesema harusi ni ya nape amekosea.ni paul makonda walewale wa ccj na jana ndo tulikula sendoff arusha.jpili ijayo ndo harusi itakua dar.
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,105
  Likes Received: 5,563
  Trophy Points: 280
  aiseee yaaaaaaaaaaniiii wameiajza precision ccm tupu nilitamani kungekuwa na walibya huko kwenye sendofflukuvi nae alikuwepo mbona zito kabweeeeee naae alikuwepooooooooooo viongoziiiii wengi tu walikuwepo ukiona hivyo kijana nyita yake ya mamajusi inangara bibie umelenga bana sikuhizi sio kuoa tu umeoa ama kuolewa nykati zinasemaje utakaekuwa nae@@@
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Umakini wa jukwaaa(Jamii forums) sasa unapungua maana watu walilipuka na thread ile "nape anaoa" bila kuwa na hakika, yaaani mtu akitupia kitu tu watu wanamininika bila hata kujiridhisha na ukweli wa taarifa yenyewe! hata katika mambo mangine jukwaa litaingiwa shaka sasa
   
 4. faithful

  faithful JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tatizo watu bila kumtaja nape hawakojoi wakiwa na wake zao au waume zao!......mngefanya mambo ya maendeleo ingempendeza bwana!acheni kumpandisha chati mkidhani mna mpaka matope!
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nimeshindwa tu kukugongea like na hii tochi yangu!
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160


  Mkuu ni bwana yupi unayemzungumzia! Maana nimeona umechanganya na mambo ya Jukwaa la mambo ya wakubwa! Au ni bwana ako nn!? Unaonekana umekasirika sana!
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyu Dogo Nape mbona siku nyingi alishaoa nakumbuka wakati anagombea ubunge Ubungo alikuwa na mtoto wake mchanga na mke wake
   
 8. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni kwel Nape ameoa,tena mkewe ni mtoto wa Brigadier Hemedi anaitwa Tumaini.Baba mzazi wa mke wa Nape anaishi Changanyikeni jijini Dar.
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  u'r right mana kila kukicha nape nape who is Nape by the way
   
 10. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Ndio maana nimekua nikisema nape humu tunamchukia kupita kiasi sijui chuki hii ya ajabu imetoka wapi wakati alikua kipenzi cha baadhi ya watu humu ndani wakimwita mpiganaji mwenzetu,kwanini tumebadilika ghafla?
   
 11. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Niko hapa Flamingo hall Mbezi Beach, nasikia bwa arusi kaishia la saba tu.
   
 12. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  sasa mbona hamkufunguka kwenye ile topic mnakuja muda huu mpaka jamaa amepata umaarufu mkubwa wa kutokuoa.......mjini shule!
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,045
  Likes Received: 6,485
  Trophy Points: 280
  yanaoa madaras au anaoa mtu,
  mbona wabongo mmekuwa na kashfa hivyo,
  najua wewe unamtaka mkewe, kazi kwako.
   
 14. ram

  ram JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,194
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh! Tunaomba jamani muwe mnajiridhisha kwanza ndio mbnaleta hapa, walisema Gerald Hando wa clouds kafukuzwa kazi, ajabu leo nimemsikia akitangaza
   
 15. subadesubking

  subadesubking Senior Member

  #15
  Dec 15, 2017
  Joined: Jan 17, 2015
  Messages: 104
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Bwana harusi kaishia la ngapi?


   
 16. linguistics

  linguistics JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2017
  Joined: Jun 22, 2014
  Messages: 3,102
  Likes Received: 2,032
  Trophy Points: 280
  kumbe tuhuma za bashite zilianza long time...
   
 17. papaa maglass

  papaa maglass JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2017
  Joined: Nov 27, 2014
  Messages: 215
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  JF ni noma.
   
 18. w

  wise-comedian JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2017
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,455
  Likes Received: 2,510
  Trophy Points: 280
  Yani FoFoFoFo...Four years Fighting for Food
   
 19. mjumbe wa bwana

  mjumbe wa bwana JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2017
  Joined: Sep 19, 2016
  Messages: 1,940
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Jamii forum uishi miaka yote kitu ya #2011
   
 20. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2017
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,784
  Likes Received: 1,970
  Trophy Points: 280
  Bado ipooo?
   
Loading...