Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,494
Habari!
Katika masimulizi ya Biblia tunaona kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni Adamu na Eva. Tena tunaambiwa kuwa, hawa ndio wazazi halisi wa binadamu wote duniani. Quraan nayo kwa upande wa waislamu ikaja na masimulizi kama hayo baada ya kukopi elimu hii toka kwa Biblia japo ilibadili mlengo wa baadhi ya masimulizi hayo (NB Quraan iliandikwa toka masimulizi ya Biblia, vitabu vya dini ya kiyahudi ndipo wakaja na elimu za kutawadha, adhanaa nk, vitabu vya washirikina ndipo walipoitoa elimu ya majini na mapepo na pia masimulizi ya Mtume).
Habari hii ya Adamu na Eva si hadithi ya kweli, bali lugha ya picha. Rabi mmoja anadhihirisha kuwa Dunia ilikuwa na binadamu wengine ambao wa kiume waliitwa Adamu na wanawake wengine waliitwa Eva. Ushahidi wa rangi tofauti na races tofauti ni kidhibitisho tosha kuwa si binadamu wote tuna mzazi mmoja. Mfano mzungu na mzungu kamwe hawatazaa mwafrica na wala mwafrika na mwafrica hawatazaa mchina. Je, nini kilitokea kwa Adam na Eva hata wakazaa mhindi au mtamil au mwafrica???
Vitabu vya dini kubwa mfano za kihindu, kibudha au kichina zina masimulizi tofauti ya asili ya binadamu. Vile vile, sayansi bado inatafuta asili halisi ya binadamu.
Vitabu vya dini vimetumia masimulizi ya mkato, yasiyotoa uhakika na yasiyotaka kuhojiwa juu ya asili ya uhai na ukihoji utaishia kuambiwa unakufuru!!!
Kwa mantiki hiyo, masimulizi na visa vya asili ya binadamu ni hadithi za kutunga na kuaminisha umma. Kumbuka anayeqdhaniwa kuwa mwandishi mwandishi wa kitabu cha Genesis ni Moses ambaye alipata elimu yake pale Misri kwenye kasri la Farao! Tukumbuke kuwa tayari waisrael walikuwa wamekwisha kuishi miaka zaidi ya 400 Misri.
Je, nani alimpa elimu au simulizi la uumbaji Moses???
"...Waliandika kitu ambacho walipenda tukisome tu, mengine walificha kwa malengo yao"
Sent using Jamii Forums mobile app