Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,494
- Thread starter
- #21
Naomba usome last sentence ya my post!Chief naona unataka facts huku wewe hujatoa facts. Hivi vituko nimezoea kuviona humu jf pekee.
Jaribu kumuuliza huyo Rabi au waulize wenye msimamo huo ya kuwa ilikuwaje hao binadamu wa kiume wakaitwa Adamu na wakike wakaitwa Eva ?
Je wa mwanzo wanzo hao binadamu alipatikanaje ?
Hili sasa ni swali la msingi,wewe umejuje kama haya uyasemayo wewe ndio ukweli ?
Sent using Jamii Forums mobile app