Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

Hicho hata mimi naweza kukitengeneza, ni ujanja ujanja tu wa kuunganisha matukio.

Hapo zitakuja zile stori za jua kuzama kwenye matope alizosimulia Mtume au zile za kuwatumia wadudu kupigana vita!!!

Walioleta dini walisababisha bongo zetu kudumaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatoa majibu ya jumla jumla.
 
Kuna dini flani hivi imesdai kus sisi wa afrika tulikuaga wazungu before, ila tulipewa laana na fazaake nuhu, unaambiwa huyo faza alilewa akakaa vibaya, sisi tukamchungulia alafu tukaanza kucheka,

basi yule faza pombe zilivyo mtoka akatoa laana, tangu hapo ndio tukawa na hii rangi inayofanana na suti ya maninja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si umesema natoa majibu ya jumla? Seems una specific answers, ndo nazihitaji from u!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nafuatilia hoja zako kuhusiana na suala la sayansi kwenye Qur'an na ndiyo naona unatoa majibu mepesi kuhusiana na kuwepo sayansi kwenye Quran.
Haijarishi mie nina majibu sina ila hiyo hainifanyi kuona wepesi wa majibu yako.
 
Vitabu vya dini kubwa mfano za kihindu, kibudha au kichina zina masimulizi tofauti ya asili ya binadamu. Vile vile, sayansi bado inatafuta asili halisi ya binadamu..........................

Ingekuwa vizuri zaidi Kama ungeelezea ni jinsi gani dini za kihindu,kibudha na kichina zinavyoelezea asili ya binadamu Kama ulivyogusia kidogo kwa dini za kikristo na kiislam ili utuonyeshe jinsi zinavyotofautiana.
Nawasilisha kwako mtoa mada na wachangiaji wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwekee hapa hiyo aya ya Quran!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aya hiyo apo
Screenshot_20190127-091743.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna dini flani hivi imesdai kus sisi wa afrika tulikuaga wazungu before, ila tulipewa laana na fazaake nuhu, unaambiwa huyo faza alilewa akakaa vibaya, sisi tukamchungulia alafu tukaanza kucheka,

basi yule faza pombe zilivyo mtoka akatoa laana, tangu hapo ndio tukawa na hii rangi inayofanana na suti ya maninja

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wapuuzi waliotoa hiyo narration walikuwa makaburu enzi za ubaguzi wa rangi huko South Africa, so ni moja ya fafanuzi za kijinga na zinaonesha namna mzungu anavyotumia akili za waafrica wanaopokea kila kitu frm wazungu as if ni lulu! Hapo ndo utaona dini za kigeni zinavyotupumbaza!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafuatilia hoja zako kuhusiana na suala la sayansi kwenye Qur'an na ndiyo naona unatoa majibu mepesi kuhusiana na kuwepo sayansi kwenye Quran.
Haijarishi mie nina majibu sina ila hiyo hainifanyi kuona wepesi wa majibu yako.
Ok, wenye majibu mazito watakuja, endelea kufuatilia!!

But mind you, Quran haifai kabisa kuwa reference ya uumbaji as inapotosha pia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari!
Katika masimulizi ya Biblia tunaona kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni Adamu na Eva. Tena tunaambiwa kuwa, hawa ndio wazazi halisi wa binadamu wote duniani. Quraan nayo kwa upande wa waislamu ikaja na masimulizi kama hayo baada ya kukopi elimu hii toka kwa Biblia japo ilibadili mlengo wa baadhi ya masimulizi hayo (NB Quraan iliandikwa toka masimulizi ya Biblia, vitabu vya dini ya kiyahudi ndipo wakaja na elimu za kutawadha, adhanaa nk, vitabu vya washirikina ndipo walipoitoa elimu ya majini na mapepo na pia masimulizi ya Mtume).

Habari hii ya Adamu na Eva si hadithi ya kweli, bali lugha ya picha. Rabi mmoja anadhihirisha kuwa Dunia ilikuwa na binadamu wengine ambao wa kiume waliitwa Adamu na wanawake wengine waliitwa Eva. Ushahidi wa rangi tofauti na races tofauti ni kidhibitisho tosha kuwa si binadamu wote tuna mzazi mmoja. Mfano mzungu na mzungu kamwe hawatazaa mwafrica na wala mwafrika na mwafrica hawatazaa mchina. Je, nini kilitokea kwa Adam na Eva hata wakazaa mhindi au mtamil au mwafrica???

Vitabu vya dini kubwa mfano za kihindu, kibudha au kichina zina masimulizi tofauti ya asili ya binadamu. Vile vile, sayansi bado inatafuta asili halisi ya binadamu.

Vitabu vya dini vimetumia masimulizi ya mkato, yasiyotoa uhakika na yasiyotaka kuhojiwa juu ya asili ya uhai na ukihoji utaishia kuambiwa unakufuru!!!

Kwa mantiki hiyo, masimulizi na visa vya asili ya binadamu ni hadithi za kutunga na kuaminisha umma. Kumbuka anayeqdhaniwa kuwa mwandishi mwandishi wa kitabu cha Genesis ni Moses ambaye alipata elimu yake pale Misri kwenye kasri la Farao! Tukumbuke kuwa tayari waisrael walikuwa wamekwisha kuishi miaka zaidi ya 400 Misri.

Je, nani alimpa elimu au simulizi la uumbaji Moses???

"...Waliandika kitu ambacho walipenda tukisome tu, mengine walificha kwa malengo yao"

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mungu ni idea kama idea nyingine ambazo hufanywa fursa.
Wenye upeo na akili timamu ambao tunauwezo mkubwa wa kuulisha ubongo wetu tunasema hakuna kitu kinachoitwa Mungu na hakitawahi kuwepo
 
Habari za mungu ni idea kama idea nyingine ambazo hufanywa fursa.
Wenye upeo na akili timamu ambao tunauwezo mkubwa wa kuulisha ubongo wetu tunasema hakuna kitu kinachoitwa Mungu na hakitawahi kuwepo
Yani kusema hakuna Mungu unaona ni jambo kuuubwa lenye kufanywa na watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri!
 
Yani kusema hakuna Mungu unaona ni jambo kuuubwa lenye kufanywa na watu wenye upeo mkubwa wa kufikiri!
Hakika. Huwezi tegua mtego wa utumwa wa fikra kama huna upeo mkubwa wa kufikiri.
Mungu ni story za kitoto ambazo kwa mwenye uelewa anabaki kucheka akisikia neno mungu linazungumzwa na watu wazima
 
Rudia kuisoma hiyo aya then soma na ufafanuzi. Hapo mwandishi anataka kulazimisha kilichoko kwa Quran na kile sayansi isemavyo. Sijaona hizo nchi zimeandikwa wapi in Quran!

Sent using Jamii Forums mobile app
Broo unanifurahisha mwandishi aligusia hizo nchi ili kuonyesha kwamba kati plate na plate kuna uwazi mdogo sana na Quran apo the plates are neighboring
Na nchi walizosema wanasayansi sio exactly ni approximately cha kuzingatia concept inafanana laki Quran ndio ilianza kutoa hiyo concept

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unasema kama nani maana kuhusu Qur'an na sayansi kuna wanasayansi wamesema yao,sasa wewe ambaye umekiri huna majibu mazito unasema inapotosha.
Watakuja hapa watu wa dini za kale za Oslis ukivisoma vitabu vyao utakuta ideas nyingi za kisayansi zilikuwepo tangu dahari. Kumbuka hizo dini zimekuwepo miaka zaid ya 3000Mil. Hizi za kiislamu na kikristo ni za juzi tu hapa ila bado zinadai ndo zinamiliki elimu yote!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika. Huwezi tegua mtego wa utumwa wa fikra kama huna upeo mkubwa wa kufikiri.
Mungu ni story za kitoto ambazo kwa mwenye uelewa anabaki kucheka akisikia neno mungu linazungumzwa na watu wazima
Huo upeo mkubwa unapimwa vp?kwa sababu kiuhalisia wanaoamini Mungu ni watu wa aina nyingi tofauti,na si kwamba wanao amini Mungu ni watu wa aina fulani tu mfano labda wasio na elimu au masikini tu kiasi kwamba tungesema labda kwa sababu ya hali zao ila kila hii imani ipo kila aina ya watu unaowajua.
Sasa hebu fafanua hapo kidogo maana isije ikawa wasioamini Mungu ni kwamba ujinga ndio unawafanya waseme hakuna Mungu,maana hadi leo hakuna aliyeweza kufafanua ni vp huyo Mungu hayupo.
 
Rafiki unaamini kuwa dunia ilianza na binadamu wawili tu, Adam na Eva?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom