Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

Hawajawahi ku-exist. Ni stories tu au lugha ya picha, so usijisumbue kutafuta...
Hello wana JF
Hebu tufahamishane,adam na eva(hawa) ambao ndo wanasadikiwa na wengi kuwa ni chimbuko la wanadam wote hapa duniani walikua ni watu wa race ipi??
 
Always unapo taka kuelezea kitu kwa kupinga kingine unalazimika kwnd na chako...sasa mbwa wewe unatak kusema binadamu wa kwanza alkua nan..au ametokana na nn?
 
Allah hana shida ya kukunyonga maana siku yako ya kuondoka duniani amesha kuwekea
Ila kama unaona maneno yake yanakukera ni bora ujitanguluze ili usiyasikie ndio akasema Na asiye iamini hii Quran na achukue kamba ajinyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahha akili hizi
nasikiaga binadamu huwezi pangua alilopanga allah!
sasa inakuaje allah amekupangia siku ya kukuchukua lakini hapohapo unasema unaweza kujitanguliza/kujiua .

kwaio tunauwezo wa kuvuruga ratiba ya allah?
 
Mkuu....1 different races tunaambiwa Ni mabadiliko kulingana na mazingira.
Kama tunavyoamini kwenye history.....
Nyani to man.

2.. Musa aliandika vitabu vyake kwa uwezo Wa Mungu....haikiwa akili yake
Kwa hiyo mkuu, wale watu weusi wanaoishi ulaya ipo siku watakuwa wazungu...,,🤣🤣🤣
 
Mkuu nije na proof gani tena wakati biblia ndio inasema binadamu wa kwanza alikuwa Adam na baadae akaletewa Eva? Mimi naiamini biblia kwa asilimia mia moja ndio, kama wewe huiamini hilo ni tatizo lako binafsi nimeleta assumptions ambazo zinaweza kuwa zinajibu hayo maswali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu ikasema Kain akaenda kwenye nchi ya majitu na kujitwalia nke 😁😁, yahani Kain mtoto wa binadamu wa kwanza kuumbwa......btw, heri ya Saba saba!
 
Back
Top Bottom