Ni haki kupenda!?

Ni haki kupenda!?

Avatar Myg

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
675
Reaction score
118
WanaJF habari zenu!...
Kuna kitu kidogo kinanisumbua, hivi kwa mtu ambaye ameoa 'out of love'..
Yaani amemuoa mtu asiyempenda ana haki ya kuwa na mpenzi nje ya ndoa ambaye he/she truly loves?
 
Sio haki kwa anaempenda nje maana hawezi kumfanya wake wa pekee....na sio haki kwa yule anaejulikana kama mkewe/mumewe!
Sijui lini watu watajifunza kutokimbilia ndoa na watu wasiowapenda kwa dhati!!!Kama hampendi na anae anaempenda amuache dada/kaka wa watu nae atafute atakaempenda!
 
Umesema vema Lizzy however nadhani kuna sababu nyingi ambazo zinawezamfanya mtu akamuoa/olewa na mtu asiyempenda.
 
una haki ya kupenda pale unapokua hujaoa tu ndugu yangu..! yale ni makubaliano ya kuwa pamoja nae maishani, sasa mambo ya haki yatoke wapi tena? unless muachane na kuvunja makubaliano...! hizo ni dalili za uchakachuaji
 
iweje uoe/uolewe na usiyempenda?

Rose1980, kuna factors nyingi sana zinazompelekea mtu kumuoa mtu fulani...
E.g.
1. Influence ya wazazi.
2. Money/wealth.
3. Kutafuta uraia wa nchi fulani.
4. Security reason.
5. Inawezekana ukakutana na ur right one baada ya ndoa
6. Unplanned pregnancy
.................. Etc

haki? kiaje?
kikatiba?kidini?as human right ennh?
ehh aya.....sasa mkeo home umemuoa km pambo?
Kutokana na uwezo wako wa kupambanua mambo.. Mtu aliyeoa kutokana na sababu above ana haki ya kupenda?
 
The right na logical thing itakua kujibu kua hana haki... Sababu maadili, dini, jamii
haikubaliani na hilo suala kabisa! But hio haiepushi ukweli kuwa yaweza tokea..

Kihalisia kila mwanadamu huitaji mapenzi ya kweli sababu kwa wale walo
wahi pitia wanajua the experience you get and how wonderful it feels...
Ndo maana ni muhimu saaana kuoa/kuolewa na mtu you have intensive
feelings for sababu ni bora utoke nje kwa tamaa lakini sio eti sababu
you have fallen in love... Hio inawafanya wandoa muwe katika misuko suko
ile mbaya... na kweli usiombe yakukute!
 
una haki ya kupenda pale unapokua hujaoa tu ndugu yangu..! yale ni makubaliano ya kuwa pamoja nae maishani, sasa mambo ya haki yatoke wapi tena? unless muachane na kuvunja makubaliano...! hizo ni dalili za uchakachuaji
Mkuu, kuna factors nyingi sana zinazompelekea mtu kumuoa mtu fulani...
As i mentioned
1. Influence ya wazazi.
2. Money/wealth.
3. Kutafuta uraia wa nchi fulani.
4. Security reason.
5. Inawezekana ukakutana na ur right one baada ya ndoa
6. Unplanned pregnancy
.................. Etc
 
The right na logical thing itakua kujibu kua hana haki... Sababu maadili, dini, jamii
haikubaliani na hilo suala kabisa! But hio haiepushi ukweli kuwa yaweza tokea..

Kihalisia kila mwanadamu huitaji mapenzi ya kweli sababu kwa wale walo
wahi pitia wanajua the experience you get and how wonderful it feels...
Ndo maana ni muhimu saaana kuoa/kuolewa na mtu you have intensive
feelings for sababu ni bora utoke nje kwa tamaa lakini sio eti sababu
you have fallen in love... Hio inawafanya wandoa muwe katika misuko suko
ile mbaya... na kweli usiombe yakukute!

Nimekuelewa Asha D, sasa kwa mtazamo wako ni haki kupenda?
 
Rose1980, kuna factors nyingi sana zinazompelekea mtu kumuoa mtu fulani...
E.g.
1. Influence ya wazazi.
2. Money/wealth.
3. Kutafuta uraia wa nchi fulani.
4. Security reason.
5. Inawezekana ukakutana na ur right one baada ya ndoa
6. Unplanned pregnancy
.................. Etc

Kutokana na uwezo wako wa kupambanua mambo.. Mtu aliyeoa kutokana na sababu above ana haki ya kupenda?

sina jibu bado.....:mod: helpppppppp!!!!!!!!
 
WanaJF habari zenu!...
Kuna kitu kidogo kinanisumbua, hivi kwa mtu ambaye ameoa 'out of love'..
Yaani amemuoa mtu asiyempenda ana haki ya kuwa na mpenzi nje ya ndoa ambaye he/she truly loves?

Unajua Avatar mi sioni tabu hapo katika kupenda,
ni haki ya kila mmoja kupenda, ila sasa unampenda nani?
hilo ndo la kujiuliza.

Huu uzi wako unanikumbusha issue moja hapo zamani,
kuna bwana mmoja aliwahi kuhoji kuwa hivi kupenda kuna fadhila kweli?
Yaani inatokea kuwa wawili wapendanao katika safari yao ya mapenzi,
mmoja anakuja kujitoa, lakini katika hiyo safari yao huyo aliejitoa alikuwa,
kwa namna moja amesaidiwa sana katika kuendelezwa kimaisha,
labda amesaidiwa sana kifedha, kielimu n.k.
sasa mwisho wa siku anajitoa na kujikuta anapendana na mtu mwingine,

Na muda mchache tu baada ya kufahamiana wanajikuta wanafunga na ndoa kabisa.
Sasa ndo linakuja swali hapo, kwani mapenzi/kupenda kunaendana na fadhila?
''Eti kwakuwa tulivyokuwa mapenzini nilikusaidia a, b, c, na d,
sasa mbona huna hata fadhila, yaani umeniacha na kwenda kumuoa/kuolewa,
na mtu mwingine...lol....''

Asanteni wapendwa!!!!!mbarikiwe nyote...
 
unaishi vipi na mtu usiyempenda
kama ulioa/olewa kwa sababu ya wazazi, mali, nk umeshapata ulichohitaji na wazazi wameridhika
toeni talaka kila mmoja akafaidi upendo kwa anayempenda kuliko kuendelea
kudanganyana

WanaJF habari zenu!...
Kuna kitu kidogo kinanisumbua, hivi kwa mtu ambaye ameoa 'out of love'..
Yaani amemuoa mtu asiyempenda ana haki ya kuwa na mpenzi nje ya ndoa ambaye he/she truly loves?
YES!!!!!!
Kuna watu wameowa wasiowapenda.Tena wengi tu
 
Zimefungwa na mnyororo wa chuma ama kwa gundi?!

apochachaaa!!!!!

yaan ukae na limtu alikupend waz waz kisa ndoa aivunjik?

mtu anarud sa 8 daily

mtu hakup haki ya usiku januar to desemba anakufanya we dadake

mtu hatunzi family ata sh 10 yake uijui

mtu anakudharau mbele za watu

mtu anaku.....ongezea wewe

then unambie ndoa aivunjiki?whch one? kwa mising ya ndoa i sio ndoa ata kidogo so u better quit ..unless othwise AUJAJUA BADO WHAT IT TAKES FOR NDOA KUITWA NDOA..

nawasilisha ..uku nimenuna:tonguez:.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom