Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
Wana JF.Hili swala la kumwabudu marehemu au kumwombea wakati yeye kashakufa na hana ufahamu wowote kweli ni jambo jema? Maiti haijui wala haisikii nijuavyo mimi sijui wenzangu mnajuaje?
Maiti haina thamani yoyote hata fungu la mchicha la mia mbili inaizidi thamani nijuavyo mimi. Naombeni na nyie mawazo yenu kuhusu hili watu wa jf.
Maiti haina thamani yoyote hata fungu la mchicha la mia mbili inaizidi thamani nijuavyo mimi. Naombeni na nyie mawazo yenu kuhusu hili watu wa jf.