Angalia nilichoandika sifa na ubora wa P mwanzo kabisa na pia sijaanza kumsikia juzi bali nimesikiliza P tangu akiwa na Nash,kabla hata hajaingizwa tamaduni.Wew km hummjui P The Mcee n bora ukavunga tu.
Ngoma kali ijibiwe, hakuna kutafuta visingizio et sjui jamaa hafahamiki. Uo n usolo
Futi 6 n goma banaa
Ndio.pamoja na kuwasikiliza kabla ya kuanzisha tamaduni niliwahi kuwaelewa kiasi tu kwa baadhi ya ngoma zao sio zote.Umesema sio mshabiki wa wote! Waswahili mnajuana kwa vilemba
RADO USIULIZE DISS KWA FID QRADO - USIULIZE
AT - VIFUU TUNDU
OFFSIDE TRICK - DEGE, KIDUDU MTU
DIAMOND - ALL THE WAY UP
Kaisikilize kwa makini kuna visauti vya chini kwenye kiitikio vinasema umemiskika FIDKumbe mambo ndo yalikua hivo[emoji23] huwez amini hio nyimbo ya USIULIZE nilikua naipenda sn na sikujua km ni DISS TRACK nimejulia humuhumu JF, na mie si mpenzi wa Hiphop, but naipenda hio nyimbo kuanzia beat mpk Lyrics.
Kaisikilize kwa makini kuna visauti vya chini kwenye kiitikio vinasema umemiskika FID
Mzee baba kuna dis nyingine huwa zinakuwa kali kupitiliza hadi aliye dis wa anaogopa kuijibu,mimi naona nick mbishi kukaa kimya bila kumjibu p mawenge amefanya jambo la maanaNikki mbishi kashindwa kuijibu futi 6. Aisee ajitahidi apige chafya otherwise tutamfukia mazima
Hapa tunazungumzia real diss tracks.Simba toka mbuga za tandare,
Naona swala wana-force tuwa salesale,
Viuno vidogo wanataka pens ya pepe kale,
Si walitaka kiti, nimewapa hadi kitanda wakalale..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unagusa busha wazee, unakuja bila tarehe, utakufa kabla ya barehe, unajicontradict Sana, unanitukana wakati unajitukana, unamtukana dada angu ambae ni dada ako pia nawe Una dada pia anapakatwa na anasaura tunaemjua adi jina anaitwa paula,πππ, sidhan kama patakuja kutokea nondo kama izoHabari wakuu,
Leo naomba tuelezane diss track ambayo unaikubali kutoka kwa wasanii wetu wa Tanzania kutoka katika aina yoyote ya mziki kuanzia bongo fleva, taarabu, zouk, hip hop, dansi, singeli.
Kwa upande wangu diss track kali ya muda wote ni kutoka kwa Nick Mbishi aliyomdiss Ney wa Mitego (NEEMA WA MITEGO) mashairi yamepangiliwa vizuri, flow kali.
Tiririka na wewe unahisi ni diss track gani kali kwa upande wako.
Soma
Mnatuza culture gani? Au ni ya kusuka rasta?Kumekucha, huko insta Weusi wamechafua hali ya hewa
Joh anakwambia "single haijaisha insta unataka ku tease (futi).. Na kwa hii mikono kujeni msululu.. Watamaduni si ndio tunaitunza hii culture"
Kwenu Tamaduni music tunangoja mrejesho
Dizasta ni wa motoUnagusa busha wazee, unakuja bila tarehe, utakufa kabla ya barehe, unajicontradict Sana, unanitukana wakati unajitukana, unamtukana dada angu ambae ni dada ako pia nawe Una dada pia anapakatwa na anasaura tunaemjua adi jina anaitwa paula,πππ, sidhan kama patakuja kutokea nondo kama izo
Kile kiumbe hapana asee π₯πDizasta ni wa moto
Weupe ya MotraHabari wakuu,
Leo naomba tuelezane diss track ambayo unaikubali kutoka kwa wasanii wetu wa Tanzania kutoka katika aina yoyote ya mziki kuanzia bongo fleva, taarabu, zouk, hip hop, dansi, singeli.
Kwa upande wangu diss track kali ya muda wote ni kutoka kwa Nick Mbishi aliyomdiss Ney wa Mitego (NEEMA WA MITEGO) mashairi yamepangiliwa vizuri, flow kali.
Tiririka na wewe unahisi ni diss track gani kali kwa upande wako.
Soma