Ni dalili gani zinazoonesha unatumika?

Ni dalili gani zinazoonesha unatumika?

Ndio maana nikasisitiza ukitumika hakikisha unanufaika kwa sababu kutumika bila kukunufaisha ndio unapopaita "kutumika".

Yani unafanyiwa dhulma ila wewe unaichukulia kawaida kwa sababu, pengine una moyo mzuri, unajichukulia poa, hujui thamani halisi ya kitu unachokifanya au kuna ule uoga unaotokana na kuzoea routine flani kwa hiyo unaona, nikiiacha hii kazi, hii connection, nikimuacha huyu mtu. Ni nini kitatokea au nitaishije

Kutumika kwa asili ya neno lake ni kitendo cha watu kuitumia usefullness yako. Ila pale watu wanapoitumia pasipo kukufaidisha ndio tunaita "manipulation" Au kulaghaiwa.

Sikutaka kuongelea hili but kiufupi, hii dunia kutumika hakuepukiki ila kulaghaiwa kama unavyosema. Kunaepukika
Eyce Shukran hapa sawa umefafanua vizuri🤝
 
Umeuliza dalili Shesrise
Wacha mimi niseme kwenye relnship
Nafsi huugua sana, you will feel drained instead of being energized every time you interact with the peeson,Internal conflict inside you will be so vivid and loud.
Tuma lipa no☺️
 
Sifa zao: Hawa ni watu wenye mbinu za hali ya juu, wenye hila, na wanaoangalia maslahi yao binafsi pekee (self-interest).

Mienendo yao: Hawatazami mahusiano au urafiki kama kiungo cha kihisia, bali kama nyenzo au mtaji (utility) wa kuwasaidia kufika wanapotaka. Wakishapata walichokuwa wanakitafuta (iwe ni fedha, hadhi, connection, au mtaji), thamani ya lile "daraja" (wewe) inaisha, na hapo ndipo wanapokutupa bila majonzi.
Hii imewatokea wengi sana jamani.
 
Ukweli unaujua wewe mwenyewe. Mimi nipo kuwasanua juu ya mbinu zenu mnazotumia. Mjue kuwa na sisi tuna moyo wa nyama kama ninyi na tuna hisia pia.
Mbinu gani tena mkuu ?
Kina nani wanazitumia?
 
It is a fact, that women are the masters of the craft; Men always fall victim.
Deception in relationships exists on both sides; both men and women are capable of it
 
Neno kutumika lina maana pana ya kitu au mtu kuwa kwenye matumizi, kazi, au huduma fulani kulingana na muktadha wa sentensi.

Katika maisha ya kila siku, neno hili hutumika kumaanisha chombo au kifaa ambacho kiko kwenye kazi kwa sasa, kama vile kusema "kompyuta hii inatumika." Pia, neno hili huwakilisha bidhaa ambazo si mpya bali zimeshawahi kumilikiwa na kutumiwa na mtu mwingine hapo awali, maarufu kama bidhaa za mitumba au zilizotumika.

Kwa upande wa binadamu, linamaanisha kitendo cha mtu kujitolea, kuajiriwa, au kutoa huduma kwa uaminifu katika taasisi, serikali, au jamii.
 
Katika muktadha wa mahusiano (kazini, kimapenzi, au urafiki), dalili kuu zinazoonesha kuwa unatumika kwa maslahi ya mtu mwingine ni pamoja na kuwepo kwa usawa mdogo, kuingiliwa kwa mipaka yako, na kutafutwa pale tu unapohitajika.
 
Nyongeza : kutafutwa pale unapoitajika
:kua wa kwanza kwa kila kitu
:kutumia nguvu nyingi kwa
Mwenza wako zaidi ya
ya anavyotumia nguvu
Zake kwako
Relationship bila mipango yoyote ya mda mfupi au mipango ya mbele kuna uwezekano kuna mmoja anatumika
 
Neno kutumika lina maana pana ya kitu au mtu kuwa kwenye matumizi, kazi, au huduma fulani kulingana na muktadha wa sentensi.

Katika maisha ya kila siku, neno hili hutumika kumaanisha chombo au kifaa ambacho kiko kwenye kazi kwa sasa, kama vile kusema "kompyuta hii inatumika." Pia, neno hili huwakilisha bidhaa ambazo si mpya bali zimeshawahi kumilikiwa na kutumiwa na mtu mwingine hapo awali, maarufu kama bidhaa za mitumba au zilizotumika.

Kwa upande wa binadamu, linamaanisha kitendo cha mtu kujitolea, kuajiriwa, au kutoa huduma kwa uaminifu katika taasisi, serikali, au jamii.
Shukran 🙏🙏
 
Yeah it's true. Nenda tafuta movie inaitwa The Black widow. Iangalie yote alafu urudi kwenye mada yako hii.
Asante ngoja tuone kama nitapata chance mimi sio mpenz wa movie sanaa ila music
 
Back
Top Bottom