Habdavi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 1,095
- 1,526
Sijui kama na wewe ni mmoja wa hao wanaotumia mbinu hizi, ila ni ukweli umezungumzia uhalisia kabisa.Lakini pia mtu anaweza kukutumia kama daraja la kuvuka Kisha akakutupa huko.
Sijui kama na wewe ni mmoja wa hao wanaotumia mbinu hizi, ila ni ukweli umezungumzia uhalisia kabisa.Lakini pia mtu anaweza kukutumia kama daraja la kuvuka Kisha akakutupa huko.
OkayNever let people to manipulate you build up your boundaries
Lakini pia mtu anaweza kukutumia kama daraja la kuvuka Kisha akakutupa huko.
Umeongea vizuri mkuu asante sanaSifa zao: Hawa ni watu wenye mbinu za hali ya juu, wenye hila, na wanaoangalia maslahi yao binafsi pekee (self-interest).
Mienendo yao: Hawatazami mahusiano au urafiki kama kiungo cha kihisia, bali kama nyenzo au mtaji (utility) wa kuwasaidia kufika wanapotaka. Wakishapata walichokuwa wanakitafuta (iwe ni fedha, hadhi, connection, au mtaji), thamani ya lile "daraja" (wewe) inaisha, na hapo ndipo wanapokutupa bila majonzi.
Full stop..Kujua kama unatumika ni kujiuliza je ikiwa leo nitaacha kutoa kile kinachowafanya waendelee kunipenda iwe ni pesa, muda, ushawishi, ngono, maarifa au msaada, bado wataendelea kuonyesha upendo na thamani ile ile?
Kama jibu ni hapana, kuna uwezekano mkubwa unatumika.
Mfano kwenye mahusiano, mtu anakutafuta tu akiwa na shida ya fedha, anahitaji sex, au emotional support, ukipata matatizo yako mwenyewe, ghafla anakuwa busy, anakupotezea au anakukasirikia, hapo bila kupepesa macho unatumika.
Kazini mwajiri wako anakupa majukumu ya watu watatu, lakini mshahara, nafasi na appreciation haviongezeki, kila ukidai haki yako unaambiwa, "kuwa mvumilivu." Hapo unatumika.
Kwenye siasa Unahamasishwa kupigana, kutukana au kujitolea kwa nguvu zote kwa ajili ya viongozi ,hili nadhani tuna ushuhuda nalo hata humu ndani namna baadhi ya members wanavyo pigania maslahi ya viongozi wao hata sehemu wanazo paswa kupinga wao wana support tu , hawa wanatumika tena vibaya sana.
Kwenye urafiki ni wewe ndiye unakuwa unajitoa zaidi kwenye matatizo yao, siku wewe ukiwa na shida hakuna anayepatikana wala kujitoa kwa ajili yako, hapo unatumika.
Kwa kifupi, ukitoa muda, pesa, nguvu na uaminifu kuliko unavyopokea heshima, ukweli na support, stop and re evaluate, mahusiano yoyote yenye afya yanapaswa kuwa na mutual benefit.
Kidonda leo kimepata mkunaji 😆Umeongea vizuri mkuu asante sana
Full stop..
Cha kuongezea tu
Kwenye maisha bora uwe unatumika kwa sababu inaonesha una thamani flani kuliko kuwa useless. Ila sasa ni kuhakikisha unapotumika na wewe panakufaidisha maana kutumika ni lazma, haiepukiki
Ukijiajiri utatumika, ukiajiriwa utatumika. Ukiingia kwenye mahusiano utatumika, ukitaka show time utatumika.
Ukisaidia watu pasipo malipo utatumika, na hata ukiwalipisha bado utatumika.
Haiepukiki kwa sababu binadamu hajitoshelezi kwa mahitaji yake wala haridhiki kiakili, kihisia na kiroho bila mchango wa mtu mwingine. Tunaishi kwa kutegemeana na ndio kutumiana kwenyewe
Full stop..
Cha kuongezea tu
Kwenye maisha bora uwe unatumika kwa sababu inaonesha una thamani flani kuliko kuwa useless. Ila sasa ni kuhakikisha unapotumika na wewe panakufaidisha maana kutumika ni lazma, haiepukiki
Ukijiajiri utatumika, ukiajiriwa utatumika. Ukiingia kwenye mahusiano utatumika, ukitaka show time utatumika.
Ukisaidia watu pasipo malipo utatumika, na hata ukiwalipisha bado utatumika.
Haiepukiki kwa sababu binadamu hajitoshelezi kwa mahitaji yake wala haridhiki kiakili, kihisia na kiroho bila mchango wa mtu mwingine. Tunaishi kwa kutegemeana na ndio kutumiana kwenyewe
Huamini kama kuna watu wanatumiwa au wanatumika for nothing ?Full stop..
Cha kuongezea tu
Kwenye maisha bora uwe unatumika kwa sababu inaonesha una thamani flani kuliko kuwa useless. Ila sasa ni kuhakikisha unapotumika na wewe panakufaidisha maana kutumika ni lazma, haiepukiki
Hapa anazungumiziwa mtu anaetumika kwa ulaghai kwa kudanganywa wala hafaidiki chochote au faida ni kiduchu mnooUkijiajiri utatumika, ukiajiriwa utatumika. Ukiingia kwenye mahusiano utatumika, ukitaka show time utatumika.
Ukisaidia watu pasipo malipo utatumika, na hata ukiwalipisha bado utatumika.
Haiepukiki kwa sababu binadamu hajitoshelezi kwa mahitaji yake wala haridhiki kiakili, kihisia na kiroho bila mchango wa mtu mwingine. Tunaishi kwa kutegemeana na ndio kutumiana kwenyewe
MashaAllah naona raha miee👌Kidonda leo kimepata mkunaji 😆
The mind and body aren't our own to control. It works for a while ila kutumika ni palepale tuuMkuu kwanini kuna dhana kama emotional manipulation, coercive control na undue influence?
Ndio maana nikasisitiza ukitumika hakikisha unanufaika kwa sababu kutumika bila kukunufaisha ndio unapopaita "kutumika".Huamini kama kuna watu wanatumiwa au wanatumika for nothing ?
Hapa anazungumiziwa mtu anaetumika kwa ulaghai kwa kudanganywa wala hafaidiki chochote au faida ni kiduchu mnoo
Kupiga miayo mara kwa mara,ni moja wapo ya dalili ya kutumiwa ama kutumika pia.Mara nyingi utasikia watu wakisema, Huyu anatumika na watu fulani, au Huyu anatumiwa tu.
Lakini swali linakuja, kutumika ni nini hasa?
Kipengele A:
Kutumika kwenye mahusiano
Kwenye mahusiano mtu anaweza kutumika kama chombo cha starehe
Yaani hakuna future yoyote, hakuna upendo wa kweli, ila upande mmoja anajua kabisa anachofanya Anaweza kuwa mwanaume au mwanamke
Ugumu unakuja kwa yule anayetumika
Mara nyingi si rahisi kugundua kwa sababu anakuwa amelewa mapenzi
Hisia zinakuwa zimemtawala kiasi kwamba haoni wala hasikii
Hata akionyeshwa na watu wa karibu kuwa anatumika, mara nyingi haamini
Anaona anaonewa wivu, wanamchonganisha au hawataki kuona akifurahia mahusiano yake
Lakini siku akigundua ukweli, mara nyingi anakuwa tayari kapotezewa muda, kaumizwa na kuchezewa hisia
Ndipo huanza kurudisha kumbukumbu nyuma na kukumbuka vitu vidogo vidogo vilivyokuwa kama red flags, lakini kipindi kile hakuweza kuviona kwa sababu hisia zilikuwa zimemtawala
Kipengele B:
Kutumika kufanya uhalifu au kutimiza ajenda za wengine
Mtu anaweza pia kutumika kufanya uhalifu au kutimiza malengo ya watu wengine
Anaweza akawa anajua anachokifanya,
lakini pia anaweza akawa hatambui kabisa kuwa anatumika
Mimi naongelea zaidi yule anayetumika bila kujua
Mara nyingi watu wanaowatumia wenzao huwa smart sana
Wanajua namna ya kukufanya uwaamini
Wanaweza kukuonyesha upendo, kukujali, kukusaidia au kukupa nafasi mpaka uanze kuona hawawezi kuwa na nia mbaya(Fake treatment)
Watu wa pembeni wanaweza kuona mapema kwamba unatumika na wakajaribu kukuambia, lakini mara nyingi ni vigumu kuamini
Unaona kama wanakuhukumu vibaya au wanataka kukuchonganisha
Mpaka siku wale waliokuwa wanakutumia wanapomaliza kile walichokuwa wanakitaka, ndipo wanakuacha ukatupwa kama toilet paper hapo akili inarudi
Sasa hapo ndipo unaanza kukumbuka maneno ya watu waliokuwa wanakuonya, lakini yanakuwa hayana msaada tena()
Unaanza kuunganisha matukio na kukumbuka zile ishara ndogo ndogo ulizopuuzia, ukitambua kwamba zilikuwa ni red flags lakini lahaulaaa umechelewa tayari
Swali la mjadala
Kwa maoni yako, mtu anawezaje kugundua kuwa anatumika?
Ni dalili zipi ukiziona unaweza kusema
Hapa kuna kitu si sawa, nahisi natumika
Iwe kwenye:
1 Mahusiano
2 Kazi.
3 Siasa
4 Urafiki
5 Au maisha kwa ujumla
Karibuni tushirikishane mawazo na uzoefu
Huenda majibu yako yakamsaidia mtu kugundua mapema kuwa anatumika kabla hajachelewa
Midnight:02
ShesRise_1 🤚
KulaSawa asante
Wewe upo wapi hapo
Asante babu yangu mzurii🥰Mada nzuri sana, KUTUMIKA iwe kwenye ajira, mahusiano, urafiki, ndoa ni kawaida na wengi wanatumika bila kujua kama wanatumika.
Unafanya kazi ambayo mshahara unaopata na kile unachompa boss wako haviendani, hukwo ni kutumika. Ukifikia retirement age wanakunyali na kukuweka pembeni as if hukuwa na mchango wowote kwao.
Upo na rafiki yako, yeye anakutafuta akiwa na changamoto tu, yaani akiwa oky wala humsikii, akiwa na shida ya buku 50 anakutafuta, ukimsaidia hutamsikia tena, hata ukimtafuta wewe hana time, unatumika.
Upo na mkaka, yeye anakutafuta akiwa na shida ya ngono tu, yaani akiwa hana nyege hutamsikia, ila kibubu kikijaa chaap sana. Likewise upo na mdada, yeye akiwa na shida zake za vikoba ndio anakutafuta, ukishatatua shida zake hata uhangaike vipi hutamsikia, atakukwepa kama ukoma.
Huko kwenye ndoa ndio usiseme, watu wanatumika sana, sio kwa faida ya familia, bali mke au mume.
SawaKula
Ki vp tena mkuuKupiga miayo mara kwa mara,ni moja wapo dalili ya kutumiwa ama kutumika pia.