Ni dalili gani zinazoonesha unatumika?

Ni dalili gani zinazoonesha unatumika?

Kama vijana wengi wanadanganywa na mapenzi na ma single mother unalea familia yake bila kujua mwisho wa siku unakuta mda ushakuacha
Unadanganywaje na single mother kwani unakua hujui au ndio huba limekuzidia😅😅
 
Ukiona sehemu ulipo watu wanakusifu una roho nzuri, mara huna baya, jua moja kwa moja kuna namna wananufaika na wewe
Hata kama ni kweli una sifa nzuri na roho nzuri?

Labda utufundishe namna ya kutofautisha
 
In short according to psychology

We like in others what's missing in us, so they end up making us stay...

We hate in others what we hate in our selves, so people piss us off because they make our shadows visible

Kwenye haya maisha hakuna kutumika, tunafanya na kukubali kila kitu kibaya kinacho tutokea. Hata kama sisi wenyewe hatujui
Shukrani 🙏
 
Mleta mada unapangilia vizuri mawazo yako, na uwasilishaji wako uko vizuri
 
Unaweza kutumika pia kwenye kazi kwa kufanya kazi nyingi halafu mshahara unakuwa mdogo.
Lakini pia mtu anaweza kukutumia kama daraja la kuvuka Kisha akakutupa huko.

Kutumika kwenye mapenzi ndio babkubwa wadada na wakaka wengi wanatumika kwa kujua ama kwa kutokujua 😝🙆.
Mungu nisaidie nisitumike 🙏
 
Unaweza kutumika pia kwenye kazi kwa kufanya kazi nyingi halafu mshahara unakuwa mdogo.
Aiseee unanufaisha watu wewe uko pale pale
Lakini pia mtu anaweza kukutumia kama daraja la kuvuka Kisha akakutupa huko.
Alooo ni hatari
Kutumika kwenye mapenzi ndio babkubwa wadada na wakaka wengi wanatumika kwa kujua ama kwa kutokujua 😝🙆.
Mungu nisaidie nisitumike 🙏
Nilitaka kusema kitu ila nimejikuta ila baasi😁😁
 
Naona watu hawajaelewa mada sjui, anyway dalili mojawapo mtu kukupa treatment nzuri za ghafla hii wengi huwa traped hasa kwenye mapenzi.
Nyingine mtu anakutengenezea msala alafu baadae anajifanya kukusaidia ili akutumie kirahisi hata hata serikalini huu mfumo unatumika sana,cheki series ya ozark utaona huu mfano.
 
Back
Top Bottom