Ni Chama Gani Chenye Mvuto Kwa Wananchi

Ni Chama Gani Chenye Mvuto Kwa Wananchi

Ni Chama Gani Chenye Mvuto Kwako?

  • Total voters
    164
  • Poll closed .
Poll kama hii ilifanyika mwaka 2010 hapa hapa JF, Dr.Slaa akapata ushindi wa Kimbunga! Lakini wote tunafahamu kiulihalisia Dr. Slaa aliambulia patupu.
MSALANI, sawa, hiki ni kipima joto tu cha JF...hebu wape taarifa wakereketwa waje wakuunge mkono kama mnavyoalikana kila mara hapa mkitaka kuonesha mnavyoungwa mkono na wana JF wengi. Wako wapi Lizaboni, Simiyu Yetu, kichondi77, sirluta, TataMadiba, FaizaFoxy, Ritz, mjepo, arola, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Makusudically...loo kumbe mko wengi! Bahati mbaya sana JF hakuna ubwabwa, kanga, tshirt na kofia wala posho na malori ya kusomba watu; Hebu njooni mtetee CCM jamani.

MSALANI, kwa ufahamisho tu...katika uchaguzi wa mwaka 2010, CCM iliambulia kura 5,000,000 tu kati ya wapiga kura 20,000,000 sawa na asilimia 25%. Hii ina maana 15,000,000 waliikataa CCM.
 
hivi wanaotetea CCM hapa huwa ni wengi, mbona hawaipigii kura? au ni wachache tu majina bandia yanajirudia?
 
Haya matokeo ni kwa mujibu wa tume ipi ya uchaguzi!
 
[/B][/COLOR]Haya matokeo ni kwa mujibu wa tume ipi ya uchaguzi!

Waite Wenzio hapa,acha kubwabwaja! Mlishabaki wachache iwe jf hata huku makazini kwetu magamba mnahesabika.Hivi hii tume ya uchaguzi ya ccm nani anaiamini tena? Je,kwa akili yako ndogo hao wapiga kura walienda wapi? Hivi hujui kuwa shahada mlizonunua ni za wale wasiowaunga mkono? Ccm ilipata kura mil 5 tu kati ya wapiga kura mil 20.
 
Una roho mbaya kama ya bibi yako. Hiyo avatar inafanana na ccm. Pole rohombaya Kinana maana tembo wote kawamaliza.
Khaa!! Kwa hoja mbovu kama hii eti nawe ujiite ni GT basi kutakuwa hakuna maana ya kuwa na maGT :cool2:
 
hivi wanaotetea CCM hapa huwa ni wengi, mbona hawaipigii kura? au ni wachache tu majina bandia yanajirudia?

Mkuu hicho kitu hata mimi nimegundua yaani Magamba yote MSALANI@Jabulani@Simiyu Yetu@@litz@Ifweero@Capamseda nk lakini kura tisa tu, kumbe kura wanaipa CDM . Cc; @Nnauye
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom