Ni Chama Gani Chenye Mvuto Kwa Wananchi

Ni Chama Gani Chenye Mvuto Kwa Wananchi

Ni Chama Gani Chenye Mvuto Kwako?


  • Total voters
    164
  • Poll closed .
chama chenye mvuto kwa wanachi ni CCM,ila chama chenye washabiki katika mitandao ni CDM:cool2:
 
Labda swali lingekuwa hivi NI CHAMA GANI KINACHOWAFANYA WATANZANIA WAISHI KWA MIAKA ZAIDI 50 KTK UMASKINI WA KUTUPWA HUKU VIONGOZI WAKE NA WATOTO WAO WAKIISHI KAMA WAKO PEPONI?
 
September 2014 at 20:14
NCCR-Mageuzi
Array
1 0.72%
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Array
10 7.25%
CHADEMA
Array
121 87.68%
ACT-Tanzania
Array
5 3.62%
TLP 0 0%
CUF
Array
1 0.72%
Voters: 138.
Hapo mimi sijapiga
 
CHADEMA inatisha kama ebola. Duh yaani ukiondoka CDM na kwenda chama kingine ni sawa na kudumbukia chooni. Peoplessssssssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ACT 5 ni ZZK, Kitila Mkumbo, Mwigamba, Arola (jf nick name), mwingine malizia ndo hao. inamaana mpaka sasa hakina watu zaidi ya waanzilishi wake na mashabiki wao ccm
 
September 2014 at 20:14
NCCR-Mageuzi
Array
1 0.72%
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Array
10 7.25%
CHADEMA
Array
121 87.68%
ACT-Tanzania
Array
5 3.62%
TLP 0 0%
CUF
Array
1 0.72%
Voters: 138.
Hapo mimi sijapiga

Jitekenyeni halafu mcheke wenyewe.
 
Back
Top Bottom