box la kura lipi unaongelea? au la kwenye mtandao kama kawaida yenu? eti hasira za wa Tz!, waTz wapi unamaanisha? eti hasira za mungu! wakuzimu? au?Tumejiandaa kushinda hata kwenye box la kura. Mthubutu kuchakachua ndo mtaiona hasira ya Mungu kama si ya watanzania wenyewe. Tuko tayari!