Chadema
chadema
We uko wapi? Hujui kama hicho chama cha kilaghai siku hizi kinafubaa kama mshumaa???
Njoo kwenye tumaini jipya na chama cha wasomi.
ACT Tanzania.
CC:Lizaboni, simiyu yetu, MSALANI, kichondi77
Kweli ACT ni wasomi maana proposal yao ilitupwa nje huko chadema baada ya kuona haina statistical analysis. Shame on you, i think ACT is a party of a barbaric people.
We uko wapi? Hujui kama hicho chama cha kilaghai siku hizi kinafubaa kama mshumaa???
Njoo kwenye tumaini jipya na chama cha wasomi.
ACT Tanzania.
Hivi act ni ka saccos kanakohusika na nini?utapeli mtandaoni au?
Saccos ni kule ufipa mlikopanga gofu karibu na makaburini wakati mabosi zako kila mwezi wanachikichia na milioni 240. Hata kamjengo ka milioni 100 wameshindwa kujenga.
Yaan utafikiri sio wawekezaji wazawa wa nchi hii. Hayo tumezoea kuyaona kwa makampuni ya wageni wanaokuja kuwekeza tz kwan hawapendagi kujenga ofisi hapa tz. Ni mwendo wa kupanga ofisi, kuchuma na kusepa.
Kwanza kabisa mimi sina bosi,pili chama kuwa na jengo lake la ofisi au la kupanga,kunaathiri vipi utendaji wa viongozi katika kuwatumikia wananchi?ccm wana ofisi lakini utendaji uleule,act(mke wa ccm) amekodishwa na mme wake ccm jengo pale arusha baada ya watu kuwakatalia kuwapa vyumba vya kupanga,sasa si mkajenge kwanza nyie