Chadema!
Please enable this poll on the Mobile option as well.
Cuf, imekubalika asilimia 90 zanzibar katika Jamhuri ya Muungano, hivyo kama kutafanyika marekebisho ya uchaguzi kisheria, yaani rais wa muungano apate theluthi 2 kila upande wa muungano, Basi Cuf itatoa rais wa muungano.
Poll kama hii ilifanyika mwaka 2010 hapa hapa JF, Dr.Slaa akapata ushindi wa Kimbunga! Lakini wote tunafahamu kiulihalisia Dr. Slaa aliambulia patupu.
Chadema kina mashabiki wengi sana hapa JF, kwahiyo kutumia JF tu, kupata picha ya chama chenye mvuto kwa wananchi hautapata jibu sahihi!
CHADEMA, I will reconfirm this on my desktop tomorrow.
Mliwafukuza baada ya kuona wanahatalisha maslahi yenu vilaza.
Sasa waliobaki chadema wana elimu gani mpaka tuwatolee mifano kwenye jamii?
Mbowe form iv, slaa dk.ahera(elimu ya kufikirika), mnyika form six, msigwa la saba, lema form iv, sugu form ii. Msomi ni lissu chadema nzima japo naye anaonekana ni local kwasababu anakubali kutumiwa na wajinga na ni mpayukaji.
Sasa hapo utarajie chama kukua au kudidimia taratibu kama mshumaa?
Chama ni A.C.T-Tanzania chenye watu waliojipambanua na ujinga wakakataa kuwatumikia wajinga na waganga njaa.
Karibu sana.
We ---- kwani CDM wamepanga kwa mama yako?Nyie ndio hata mkipata pesa nyingi mnasema hamuoni umuhimu wa kujenga nyumba zenu kwani kwenye nyumba za kupanga panatosha.
We chizi kabisa hujui kuwa maisha ni nyumba? Mtaendelea kuonekana local kwa mawazo hayo.
Khaa!!!® Tanzania ina watu zaidi ya milion 45, JF kuna members zaidi ya elfu 15, Thread imeangaliwa na watu zaidi ya 1000 lakini watu wasiofika 50 ndiyo wamevote. Wenye akili wameng'amua
Mliwafukuza baada ya kuona wanahatalisha maslahi yenu vilaza.
Sasa waliobaki chadema wana elimu gani mpaka tuwatolee mifano kwenye jamii?
Mbowe form iv, slaa dk.ahera(elimu ya kufikirika), mnyika form six, msigwa la saba, lema form iv, sugu form ii. Msomi ni lissu chadema nzima japo naye anaonekana ni local kwasababu anakubali kutumiwa na wajinga na ni mpayukaji.
Sasa hapo utarajie chama kukua au kudidimia taratibu kama mshumaa?
Chama ni A.C.T-Tanzania chenye watu waliojipambanua na ujinga wakakataa kuwatumikia wajinga na waganga njaa.
Karibu sana.
kwani hufahamu?
Chadema
CHADEMA, I will reconfirm this on my desktop tomorrow.
mtashinda tu humuhumu kwenye mitandao. hongereni.