Ni bora kuwa single kuliko kuumizwa kihisia na “wafanyabiashara” wa karne hii

Wife material huyo usimwache mkuu,yaani mtu unayempenda huwezi mpiga vizinga ni kama huruma inakujia hivi, ila wale wasumbufu na huna mpango nao ebana eeh unaanza asubuhi akikusalimia tu unamwambia huna hela ya breakfast, mchana unamwambia unataka kwenda saloon huna pesa, jioni tena dinner yaani dozi inaitwa kutwa mara 3 ,7 days a week😀😀 ( nimeongea tu sipo kwenye hili kundi please)
😂😂 Hiyo dozi lazma mtu ufe mapema usipojiongeza na kusepa..
Kuna mizinga mingine ni ya kukufukuza.. Dah wanawake mna mbinu za kutufukuza hahahaha.. Unakuta mtu anakupa heavy bills izo wakati anajua kipato chako
😂😂 wanawake wote peponi aisee
 
😂😂 Hiyo dozi lazma mtu ufe mapema usipojiongeza na kusepa..
Kuna mizinga mingine ni ya kukufukuza.. Dah wanawake mna mbinu za kutufukuza hahahaha.. Unakuta mtu anakupa heavy bills izo wakati anajua kipato chako
😂😂 wanawake wote peponi aisee
Na ndyo lengo hasa kumfukuza usiyemtaka, akiwa king'ang'anizi sasa shauri yake atauza hadi nyumba ya urithi.😀😀
 
Kumuomba bwana wako chakula wakati hajakuoa ni aibu kubwa sio kwako tu hata familia
Ni kweli lakini si kila mtu anaishi home kwa wazazi kwamba uhakika wa kula, kuna walioanza kujitegemea kukwama hela ya chakula sometimes huwa inatokea na boyfriend anaweza kukupiga tafu kidogo. All in all kuomba omba pesa si kuzuri sana unajichora tu.
 
”Papuchi haiuzwi wala haipewi bure”.

Hii teknolojia ya TigoPesa sijui M-Pesa sijui ATM imekuja kuharibu muktadha wa mapenzi, imekuwa rahisi sana kuombwa-ombwa hela.... ni aibu kwa binti kuomba hela ‘laivu’ so mababu walifaidi enzi zao.

Ukipewa utawezana.?
 
”Papuchi haiuzwi wala haipewi bure”.

Hii teknolojia ya TigoPesa sijui M-Pesa sijui ATM imekuja kuharibu muktadha wa mapenzi, imekuwa rahisi sana kuombwa-ombwa hela.... ni aibu kwa binti kuomba hela ‘laivu’ so mababu walifaidi enzi zao.

Ukipewa utawezana.?
Aisee mababu walikuwa wanafaidi mema ya nchi ndio maana wameishi maisha marefu sana

Bila pesa lazima usiwezane🤨
 
Ndiomaana mi napenda kujua terms mapema sana nauliza ni dau sema na Kama kibindamu pia sema na useme minimum posho ambayo kwako iko kiroho safi na usinibanie muda 3+,4+ chini ya hapo no
 
Itabidi na Mimi nifanye hivyo

Ila usiambiwe kuna mademu wakali kbsa wao shida ni wala elfu3 kwa siku awe na uhakika wa kula tu walau chips mayai na mishkaki ya buku huyo unapiga mpaka atakuwa anakutafuta daily, tatizo wanaume hatuwekezi kwenye uwezo wa kufumua shoo za maana, wallet sio kila kitu jana nimepiga shoo kali na mdada mkali katumiwa laki5 na jamaa liko Dodoma, saa4 naenda kupata mtori na supu naendelea tena leo ni 24hrs incubation. Demu et yuko baby we mzuri kwenye bajeti mi nibaki elf45 tu zingine narusha kwenye voda yako utajua wewe cha kufanya, hahahaaaa wallahi wallahi acheni mbunyenga iitwe mbunyenga
 
Back
Top Bottom