Ni bora kuwa single kuliko kuumizwa kihisia na “wafanyabiashara” wa karne hii

Mkuu ushauri tafuta wako mmoja mkali hapo wekeza-wekeza nguvu zako Sabu sio wewe pekee uliemuona hivo vishawishi vingi,wanawake wanashawishika kulingana na matamanio ya kila mmoja(matamanio hayafanani)-mpatie kila kitu akija kwenye ndoa au akikuzalia masharti hupungua unakula Bata ukila dagaa au mchicha nae atakula kikubwa mtunzie heshma kwani atakuwa amehama Rika toka Rika la maonesho kuja rika la utekelezaji,ondoa hofu ndivo walivo,usiogope hasara ukijaribu watano utapata mmoja-kumbuka mwanamke Ni kiungo mhm katika family huwezi kwepa kuoa/kuolew labda uwe uwe na genetic barriers
Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ukisikaa Paaaaa au Jiwe likirushwa Gizani na kusikia Yalaaa Baasi Ujue Tayarii
 
Kuna mmoja humu ndani kapost Uzi kua anataka Ahasiwe/Watoe Mambupu/Vasectomy......Wanawake wa karne hii wamepindua Meza kibabe walahi
Yani hawa wanawake wa hii karne ya 21 ni kizazi cha nyoka kabisa
Ila jamaa amechukua maamuzi magumu sana
 
Sawa ila kuna hao wa kijijini wakijanjaruka utajuta, labda ukaoe kijijini na uishi naye huko huko, ukija naye mjini mashababi watamuonesha utamu wa mji utalia.
Mkuu chukua experienced people,jua unaanza maisha hivo chukua mwenye uzoefu,life is all about exposure-maarufu kiasi gani hapo utaenda mchakamchaka ndoa sio kugegeda tu usione mashirika yatangazapo kazi na sifa ya uzoefu ukaona wanabagua but wapo kwa immediate goals
 
Sawa ila kuna hao wa kijijini wakijanjaruka utajuta, labda ukaoe kijijini na uishi naye huko huko, ukija naye mjini mashababi watamuonesha utamu wa mji utalia.
😀😀 eti mashababi umenichekesha sana
Lakini inabidi nifate ushauri wako maana yupo manzi mmoja sio mzuri kivile lakini nachompendea hapigi mizinga... Nahisi huyo at least ana upendo wa kweli.. Maana anaonea huruma hela zangu
 
Mkuu chukua experienced people,jua unaanza maisha hivo chukua mwenye uzoefu,life is all about exposure-maarufu kiasi gani hapo utaenda mchakamchaka ndoa sio kugegeda tu usione mashirika yatangazapo kazi na sifa ya uzoefu ukaona wanabagua but wapo kwa immediate goals
Sijakuelewa hapo kwenye experienced people.. Una maanisha experience kwenye kupiga mizinga au kwenye nini
 
😀😀 eti mashababi umenichekesha sana
Lakini inabidi nifate ushauri wako maana yupo manzi mmoja sio mzuri kivile lakini nachompendea hapigi mizinga... Nahisi huyo at least ana upendo wa kweli.. Maana anaonea huruma hela zangu
Wife material huyo usimwache mkuu,yaani mtu unayempenda huwezi mpiga vizinga ni kama huruma inakujia hivi, ila wale wasumbufu na huna mpango nao ebana eeh unaanza asubuhi akikusalimia tu unamwambia huna hela ya breakfast, mchana unamwambia unataka kwenda saloon huna pesa, jioni tena dinner yaani dozi inaitwa kutwa mara 3 ,7 days a week😀😀 ( nimeongea tu sipo kwenye hili kundi please)
 
Back
Top Bottom