Pamoja na ukakasi wa dildos, je ni bora mara mia kuliko mchepuko?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,928
Zikijulikana kimombo kama sex toys, ama kwa jina lake la kitaalam dildos.. Ni midoli ya kujichua na kuondoa hamu za hisia za kingono kwa jinsia zote mbili lakini maarufu zaidi ikiwa ya kiume na watumiaji wakiwa wanawake.

Inawezekana kabisa waliokuja na huu mbadala wa matumizi ya sex toys waliwazingatia wale ambao hawako tayari ku cheat kwenye mahusiano yao lakini wakati huohuo wanahitaji kumaliza hamu zao kwa njia zinazokaribiana na uhalisia

Didos hazikuja kwa bahati mbaya wala ubunifu wake si mgeni kwakuwa kabla ya ujio wake na pengine hata sasa kuna baadhi kama si wote walitumua matunda yenye muundo wa kufanania kama matango na ndizi

Kwenye ndoa na mahusiano kuna mengi.. Wapenzi wakiishi muda mrefu pamoja hufika mahali mmoja nguvu na uwezo wa kumridhisha mwenzake hupungua ama kuisha kabisa, lakini akiongozwa na kiapo cha kutokuwa mdanganyifu kwenye mahusiano yake huamua kuwa na mbadala wa kupunguza ugwadu lakini bila kuwa na mahusiano nje ya ndoa yake

Ku cheat kuna madhara na hasara nyingi
  • Kufumaniwa
  • Kuambukizwa magonjwa ya kimwili
  • Kuambukizwa magonjwa ya kiroho
  • Kubeba nuksi na kimavi
  • Kuwa blackmailed
  • Kushtakiwa na nafsi
  • Kuibiwa
  • Kubambikiwa mtoto kwa wanaume
  • Kuwa misused nknk..!

Sasa kuepusha hayo yote na kuilinda heshima ya ndoa na mahusiano wengi huamua kutumia sex toys! Zina gharama lakini ni salama zaidi kuliko kuchepuka ama kutumia vitu kama matango na ndizi ambavyo sometimes raha zikizidi hukatikia ndani kutokana na fatigue ya Kazi nzito

Ubaya wa dildos ni upi?
  • Ni kitu cha aibu kikionwa hadharani
  • Ni biashara ya siri hivyo upatikanaji wake ni mpaka connection
  • Utumiaji wa muda mrefu humfanya mtu awe addicted na kukosa hisia kwa mwenza wake
  • Sehemu za kuhifadhi huwa changamoto sana
  • Baadhi ya watu huzitumia ndivyo sivyo.. Kuna makundi ya wasagaji huzitumia kwa marafiki zao wa kiume na kuwazoeza vitendo vya ushoga.. Siku hisi si kila mwanaume aingiaye na mwanamke faraghani huenda kushughulika.. Wengine huenda kushughulikiwa...!

Tulikotokota ni nafuu kuliko tuendako
  • Kulianza sabuni, mafuta na matunda pamoja na chabo
  • Ikaja videos za ngono
  • Ikaja ushoga na usagaji
  • Ikaja matumizi ya viungo vya midoli ya ngono vya jinsia zote
  • Ikaja midoli
  • Yakaja maroboti
Inawezekana baada ya hapo ni teknolojia ya kuwekewa viungo vya jinsia zote ili mtu ajihudumie mwenyewe bila kubeba mzigo wowote!

Je mpaka hapo udanganyifu kwenye mapenzi utakuwa na maana yoyote tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom