Ni bora CHADEMA ifutwe

Malaria sugu bwana... Nahisi akili zako ziko kitovuni
 
mimi nafikiri kwanza ufutwe wewe kuwa raia wa tanganyika huru, kwani wewe siyo mtanganyika na ili hali unafaidi matunda na utajiri wa tanganyika, ufutwe wewe na jamii yako yote kwenye list ya watanganyika. Baada ya hapo njoo nafikiri tunaweza zungumza tukusaidiaje ....
 
umetumwa na ccm?
 
Wewe huna akili timamu. Tena umenunuliwa na CCM, NA MAFISADI. Umeuza thamani ya utu wako kwa fedha. Heri toilet paper ina kazi kuliko wewe.
 

Mapumbavu ya kimataifa yako mengi likiwemo hili!
 
Wewe huna akili timamu. Tena umenunuliwa na CCM, NA MAFISADI. Umeuza thamani ya utu wako kwa fedha. Heri toilet paper ina kazi kuliko wewe.
nimeipenda hii 🙂
 
Mawazo ya kukifuta chama cha ukombozi wa watanganyika kama Chadema ni mawazo mgando. Chadema ndicho chama pekee cha kweli cha ukombozi kwa mdanganyika aliyechoshwa kuonewa na kunyanyaswa na umaskini, maradhi, na ujinga. Miaka 50 baada ya uhuru hakuna matumaini, kila siku ni afadhali ya jana. Watanganyika embu tuamke. Mabadiliko ya kweli hayaji hivi hivi kwa urahisi tu, ETI KWA KUKAA MEZANI KUZUNGUMZA. TUZUNGUMZE NINI WAKATI WEWE UNANIIBIA NA KUNIDHULUMU HAKI YANGU? Ni lazima wakati ukifika udai haki yako bila ya kuogopa virungu vya polisi. Arusha wameonyesha mfano mzuri sana, wamedai haki yao ya msingi ya kikatiba ya kuandamana na kufanya mkutano tena wakiwa na kibali. Tukumbuke, mabadiliko yoyote yale yana gharama, na wanachadema na wapenda maendeleo ya nchi yao wamekubali kubeba gharama hiyo kama tulivyoona jana huko Arusha. EE MWENYEZI MUNGU TUSAIDIE.:A S-devil1::A S-confused1::help::bump::flame:😛eep:
 

hahahhahhaaa wee kweli wa pwani mzee wa vijimambo kishabedua mkono na kidole juuu.... Chwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!! Mchum mchum mw......................................

Always u write crap, u live in craps n u state crap everyday n then!!
 

unaangalia kauli tu mbona umefungia mdomo yale ya biharamulo,arusha na sehemu nyingine... Ushangai kuona chama kina jeshi(green guard) au hapo hakuna uvunjifu wa amani....
Hiv kusema ushindi ni lazima kwa namna yoyote ile....? kama wewe mshindani unajenga mazingira gani kwa washindani wengine...?
Hapo unachochea unfair play...ndo wanachofanya sisiem
 


kwanza elewa hakuna chama kilichosajiliwa kwa kutetea eneo au ujimbo kwa hio kama chadema inapambana kwa ajili ya Tanganyika nalo ni moja ya agizo walilolikiuka na wanatakiwa wafutiwe usajili.

jengine kudai haki bila ya kufata njia zake ni sawa na kuliamuru jahazi kutembea nchi kavu
 

Mimi napendekeza wewe Kosti Pipo ufutwe uraia kama mbuzi wa kafara.
 
Jamani ccm iachwe ili kuja kifo cha mende huku ikijiona
 
Tutaanza kukufuta kwanza kabla ya kukifuta CHADEMA!
 
We we Mtu wa pwani huna akili tatizo lako kukaa kijiweni na kunywa chai tu bila kufanya kazi...AKILI ZAKO KAMA ZA MTOTO!
 

jengine ndo nini?? Kiswahili cha baharini?

Yakhe! waacha foot prints kila upitako ati?

Popowako mtamu hapo!
 
Mkijaribu kukifuta tutaanzisha kingine...mkikifuta nacho tunawatoa kwa mtutu huko mliko
 
Kazi tunayo bado kuna watu wanaishabikia CCM richa ya yote haya kuanzia EPA,RICHMOND,DOWANS,KIWILA,UCHAKACHUAJI WA KURA,MAUAJI YA WANA CDM ARUSHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…