Ni bora CHADEMA ifutwe


Anza na CCM the mfute na kikwete
 


kikwete kawashindwa mafisadi, atawaweza hawa. inaonekana bongo yako wewe matope matupu, ndiyo maana hujui issues za siasa
 
Hysterical!
 
USHAHIDI WA KUONESHA KUWA CHADEMA VIONGOZI WAO SI WAPENDA AMANI HII NI KAULI YA KATIBU MKUU WAO DR SLAA ILIONUKULIWA KWENYE GAZETI LA MWANANCHI

"Tumevumilia sana, sasa inatosha...tunataka serikali ya Kikwete isitawalike tena kwani haki hakuna... Tunaomba Jumuiya za Kimataifa zituelewe...Uchaguzi uliopita matokeo yalichakachuliwa tulikaa kimya, lakini sasa basi,"alisema Dk Slaa.


SOURCE: Dk Slaa atangaza maandamano nchi nzima
KWA KAULI KAMA HIZI KUKIACHA CHAMA HIKI NI KULEA KWA MAKUSDI UVUNJIFU WA AMANI
 
Yaani CCM waifute CHADEMA??? Tafadhali MUTU YA PUANI . . . leo hujapitia PUANI??
 
Ifutwe CCM kwa kusababisha fujo na sera ya udini na ufisadi
 
Sidhani kama unajua matatizo ya tanzania na watanzania, kwa kutokujua kwako unaweza sema lolote si umepewa bure, je uliangalia itv jana? Hakuna meseji yeyote iliyoclick kichwani mwako? Kama hamna kichwa chako ni kibovu -period.
 

Afutwe MA..,.yako
 
Hivi wewe huwa unaongelea makalioni hadi ukorogwe chini kama magari ya zamani ndipo uongee.
 

Nahisi kumtukana Mtu wa pwani, lakini any way ana haki ya kutoa maoni yake kama Mtu wa pwani
 
wewe ni MANYAKI kabisa hujui usemalo uko km WEPA ZA GARI tena aina ya JE FONG!
 
lifutwe jeshi la polisi sungusungu ni bora zaidi kuliko polisi kudai uhuru ndo ifutwe basi mwalimu nyerere naye asiwe baba wa taifa
 
Ni wazo zuri hasa kutoka kwa mtu kama wewe ambaye bado una mawazo mgando juu ya suala zima la demokrasia,maendeleo na haki za msingi za kila raia bila kujali mahali alipo.
Haijalishi unataka kutetea nini au unatoka chama gani ila unatakiwa utambue kuwa ni vugumu sana kukifuta CHADEMA kama udhaniavyo kwani ni chama kilichotimiza masharti yote yanayotakiwa kisheria.
 
kuandika thread km hii ni lazima uwe na akili km ya mwenda wazimu hivihivi huwezi
-hivi wanaopenda ccm na kikwete ni watanzania kweli?.............yanayotokea siamini km kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuishabikia ccm na kikwete isipokuwa majuha km mwandishi wa hii thread
 
Kauli kama hiyo ya Dr. Slaa haikuja tu bali kuna sababu ya kutolewa kwa kauli kama hiyo. Najua unajua mahali inapotokea. Kwa hiyo CCM ifutwe kwanza kwa sababu ni wauaji.
 

Shame less mapenzi ya nchi yako au chama chako!!!!!!.Aliyefanya vurugu ni nani polisi au chadema.You're really naive!!!!!!! and on top of that fool
 
VIONGOZI WANAOSEMA NCHI HAITAWALIKI, BADO TU CHama hiki tukibakishe?


tukiacha kumkunja samaki angali mbichi tutashindwa akikauka
 

Haahhaaaa dua la kuku hilo...
Keep dreeeeeeeeaming.....If wishes were fishes...ahaahahhhaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…