rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 454
Sijui kama wakuu wa Exim huwa wanapitapita kwenye mitandao, natamani wangeona uchungu wa watu walionao juu ya huduma zao mbovu. Nilipanga kufunga akaunti yangu NMB nifungue exim ili nitape mastercard sasa inabidi nikae chini kwanza. Exim ni wazuri kwenye akaunti ya pesa za nje hasa USD kwa sababu gharama zao za kumaintain forex account ni ndogo sana ukilinganisha na mabenki yote TZ na hupati shida kuchukua.