Ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?

I hate foleni katika kupata huduma ya benki hasa pale ninapotaka kudeposit! Unawezaje kuniweka kwenye foleni wakati nakuja kukupatia pesa yangu? Kwenye hili nawachukia mno NBC, NMB na CRDB! Sijui wanaona sifa kuwa na mafoleni marefu!? Aaaghhh.

Hawa wamezoea foleni toka enzi zile na kudhani ni sehemu ya BANKING SYSTEM..........Mpaka ATM zinz foleni!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Tanzania kuna utitiri wa mabenki.
Je ni benki gani yenye huduma mbovu zaidi?
Kuanzia huduma kwa wateja, bidhaa, makato, huduma za mikopo,uaminifu na huduma za atm

CRBD..sijawahi ona huduma mbovu kwa wateja kama wanazotoa hii benki.Hasa mobile and internet banking.Wanakera sana!
 
NBC. nafanya kazi kampuni ambayo wafanyakazi wengi wanatumia Barclays. kila mwisho wa mwezi shimo likitema utasikia watu wa Barclays wanajigamba mzigo tayari ila mimi wa NBC nikichungulia nakuta pakavu. lazima kila mwisho wa mwezi niwe wa mwisho kupata salarii. wanaboa kinoma.
 
Nbc hovyo kabisa baadhi ya vitu huwez kufanya ktika matawi yao mengine mpaka uende ktk tawi ulilofungulia akaunti,ukibadirisha signature taarifa hazionekani ukienda ktk matawi mengine ni usumbufu tu
 
Mimi naona Barclays wapo poa no complications za kibongo lkn etm kard yako ya bank nyengine ikikwama ktk etiem yako wanaikatakata ,Amana bank iko poa pia kuna vitoto vizuri sana ,PBZ nao naaona wako poa sana.CRDB aghghghghrrrr ,
 
Huduma zote zinatolewa na watu sasa kama watu ni wazembe TUNASEMA HUDUMA MBOVU!! (Tukubaliane kwanza)
Twende kazi

1. TIB
Hasa ile branch ya Samora yni daaah wale wadada wa reception ni ovyo kabisa tena kbisa, wanajiona hatari, ukienda atajfnya yuko biize, ila ukivaa SUTI na TAI atakushobokea fasta

2.NIC
Ile branch ya Golden Jubilee Tower pale, daaaah yule dada
na management kwa ujumla wapo slow na maringo mengi sna!!

3.Banc ABC
Branch ya Uhuru Height vlevle

4.UBA
Branch ya Maktaba street na ukifika kutaka kujua jifanye unataka profit rate za FDR account na utapelekwa chumba cha dada mmoja hvi, Daaaaaah

5.Azania Bank
Mtaa wa samora karibu na mnara wa Askari

6.Bank of India
Mtaa wa maktaba


~Cmb
 
CRDB kwa upande wa huduma na makato,lakini NMB pia katika masuala ya kurenew card pamoja na wafanya kazi wake sio makini kabisa na hawatunzi kumbukumbu hivo wanasumbua wateja wake ase.
 
Back
Top Bottom