Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Imerudi tena hii sred,napenda avatar ya The Boss,The Finest,Husninyo,St.ivuga,michelle,preta,zimetulia.
waoooh! Ahsante sana.
Imerudi tena hii sred,napenda avatar ya The Boss,The Finest,Husninyo,St.ivuga,michelle,preta,zimetulia.
Mi Avatar zote nazikubali
Subiri mama mkwe na shem wakipita watakushukuru kwa niaba yangu.
son,be a good boy umshukuru mkeo mwenyewe. (hata kama huipendi avatar yake muambie unaipenda ili siku unataka aibadili iwe rahisi kumuimbisha eeh)
AVATAR YAKO MAZEEEE.. TAH! TIH! TOH! TEH! KEH! BAH! jamani mbavu zangu.. Pah! ha ha haaaaaaaaaa.. kwih! kwih!!
Lol..Manyanza!!View attachment 38869
Avatar inayonikera
mamkwe shkamoo!. Endelea hvyo hivyo kumfundisha mwanao maadili hata kama ana ndevu na mvi za kutosha. .
..Siongezi neno.kuna threads kama laki na arobaini alf za avatars aisee
https://www.jamiiforums.com/jamii-photos/95754-vote-for-your-best-avatar-in-jf.html
na hiyo hapo tena
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/167746-avatar-nizipendazo.html
na hiyo https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/58089-avatar-ninazozikubali-jf.html
na kadhalika
Mi naipenda avatar yangu kwa kuwa ni picha yangu halisi aliyonipiga babu yangu Mtuweta mwaka 1941.
Lol..Manyanza!!
Kwanini inakukera? Jifunze kuipenda tu plzz! Wenzako walikuwa hawaiprndi but now ni their favourite
mmmmmh kweli kupenda kubaya,hata avatar hauna kumbe,lol...waoooh! Ahsante sana.
We Manyanza mchokozi heeee, JF hata kama ulikuwa hutaki kucheka utachekawenyewe tuu!!!!!!!!!!!! Umenivunja mbavu!!!!hahaa haaa mbona umejishitukia mkuu kwani hii ni avatar yako pia??
kwikwiii kwikii
Hiyo ilikuwa inaitwa Iribini version 2. Ilikuwa inatumia betri za National Panasonic au Philips tu. Haikuwa na hard disk, soft disk yake memory ilikuwa 100Bites. Ukitaka kusurf internet ilikuwa lazima uwasiliane na Radio Tanzania ili wazime mtambo wao wa SW......Kwamba 1941 Laptop viao ya Version gani iliyokuwepo? embu tueleze.. manake kama unataka bidhaa ya uongo njoo bongo.. maduka ya kumwaga..watu waongo kupindukia.. mtu anaongopa huku jicho kalitoa.. kavu kabisa.. asee!! we bwabwaja uongo tu ukirudi hom utakuta kameshaikojolea.. si unajua mkojo wa mtoto una-format program zooote.. tuone kama JF utaipata hewani tena.. mpaka ukajirundike Cafe.. mbona utakoma..
mmmmmh kweli kupenda kubaya,hata avatar hauna kumbe,lol...