Ni AVATAR gani inakupendezea

Ni AVATAR gani inakupendezea

kama JK
Hili neno,jina,''avatar'' halitumiki vizuri katika hii computer business. Avatar ni mtu kama prophet ambaye ni sent by Heaven to help humanity when the human species is threatened by something. Kwa mfano Babaji ni Avatar. Ganesh pia inadhaniwa ni Avatar. Avatar ni mtu ambaye anaishi muda mrefu,to be precise,Avatar ni mtu ambaye anaishi muda mrefu.
 

name mwakalinga....location. UVUNGUNI.. Jibu..(mend...) ila twambombo tununu.. aikambee.. kesho nataka niweke signature yangu inayosema sijawahi ona ndoa ya mchaga na mnyakyus... kweli vile.. wewe umeshaona?
 
Back
Top Bottom