Ni AVATAR gani inakupendezea

Ni AVATAR gani inakupendezea

Avatar ya Katavi
8ABRgy4er8G8cAAAAASUVORK5CYII=

Hii ilivyo tu inachekesha; sasa sijui huyu mtu alie nyuma ya jina Katavi yukoje?!
 
Ulivoona napita bila kuchangia ukaniona mjinga siyo? Ya nini kujichosha bure wakati ndio kwaanza nimezaliwa leo!.. Unalo bibie!

khaaa! Jamani haka katoto kana kipaji ka kuimba taarabu.
Ngoja nitafute sponsors.
 
Back
Top Bottom