Ni AVATAR gani inakupendezea

Ni AVATAR gani inakupendezea

naipenda ya the boss,the finest,saint ivuga,preta

avatar za preta,the finest,the boss,saint ivuga,Afrodenz, Keren H..., and alike zinaonyesha ni watu ambao wako concerned sana na outlook

napenda avatar ya bht, invicible, jomse, gaijin, bei mbaya na Mwanakijiji got something cha maana to tell
 
[JFMP3][/JFMP3]
Unajua neno saint ni waheshimiwa sana wa dini, sasa avatar yake inaonyesha chekibob flan vile.. naona kama haijakaa sawa sana..

Unakosea dada.... Hakuna u chekibob hapo ni full winter
 
Kuna thread ingine kama hii walianzisha few month ago, nikasema napenda ya Sokwe wa town. Najua hammjui ila ana avatar nzuri kweli...
 
Kaizer.. najiuliza.. Hivi wanao wakiona Avatar yako utawajengea picha gani?

hahaha...Salma hiyo ni namna nzuri ya kusema huipendi, lakini nikuhakikishie tu kuwa wanaijua tangu wanazaliwa...so usijali wameshaifahamu na umuhimu wake wanaujua...ni cultural. Ya kwako pia nzuri
 
sawa.. ni mtazamo tu
Mie ningeipenda sana avatar yako kama ingekuwa na stara njema kama uzuri wa jina lako(SALMA).

Am just imagining that hiyo picha uloiweka hapo ingekuwa haioneshi sehemu nyeti (zenye thamani) kama mapaja nk.

Ni mtazamo tuu..
 
MrBurns.jpg

Avatar inayonikera​
 
Back
Top Bottom