Mr.Toyo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2007
- 433
- 117
Mie inanipendeza sana zifuatazo;
(a) Hii hapa inaashiria kuwa huyu jamaa kachoka kubiwa simu, au either ni tahadhari kajiwekea kutokana na mazingira yanayomzunguka kujaa vibaka/waizi.
(b)Hii hapa inatujuza kuwa Bush,Sakorzy, Clinton pamoja na viongozi wengine wa western lao ni moja tuu.. dhamira moja katika sura tofauti.
(c) Hii inaonesha umuhimu wa mazoezi...just imagine umeamka unamkuta huyu paka mbele yako
(d) Kuna mwana(dada/mama) anaitwa FaizaFoxy ananihusudisha sana na avatar yake (I like it)
(e) Wengine naendelea kuwacheki....(huenda ikawa ni wewe)..