Mkuu
Elli, Ule mkutano wa vijana wa vyuo vikuu CCM ilikuwa ni kuandaa vifisadi vya baadae, unajua hata Simba akiona watoto wanakua inabidi awafundishe mbinu za kuwinda, kwa hiyo mkuu
Elli usiwe na wasiwasi, hao ni the future thieves, ni mafunzo tu.
Kwanza huyo mama Tibaijuka mwenyewe ambae aliwahutubia anamiliki apartment kubwa yenye thamani ya mabilioni hapo Kinondoni, ambapo kutokana na kazi yake hawezi kuimiliki. Pia anamiliki eneo la ekari mia moja kigamboni. So, siku ile ilikuwa ni kufundishana vijana wizi