Ni aibu serikali kushindwa kuadhimisha siku ya UKIMWI

Tumia uzoefu wako kuadhimisha na familia yako. Usilazimishe ukipendacho ndicho kiwe kipaumbele cha wengi. Maadhimisho yamekwishafanyika sana kikubwa ni kuendelea kutumia elimu tuliyoipata kujikinga na familia zetu.
 
kama ulikuwa unafaidika na kuuza ma tshirt ya siku ya ukimwi kwa serikali... awamu hii tafuta cha kufanya...

awamu ya jembe magufuli sio ya mchezo mchezo
Angalia akili zetu hizi zilivyo, Sisi shirika letu ndio linayoa pesa, sasa nitoe pesa halafu nifaidike tena na kupiga dili??
 
Ukimwi sio janga La taifa,tunabana matumizi kama tumesitisha sherehe kuokoa hela,au ulitaka kupiga deal kwenye t-shirts hizi ni zama za kusoma namba ndo kwanza tumemaliza moja bado sindano 9 tunabana matumizi tujenge viwanda. Maadhimisho yenyewe ufanyikia dar sisi wa mikoani je.
 
Back
Top Bottom