NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

Duh mbowe hujamtumia Tundu lisu katika madai yako?

Pole sana uwe unamtumia lisu kwa kila jambo
 
Mbowe wewe ni kaka yangu lipa tu den maana hakuna namuna kamanda lakin mimi nilikua najua hilo jengo ni lako pole sana kamanda
 
Kama kashindwa kesi alipe kabisa wala sioni tatizo la kwendelea kushindana mahakamani......
Hivi kwa akili yako hapa unaona Mbowe anashindana na mahakama ? Baada ya Mbowe A.K.A yule jamaa kushughulikiwa na NHC , kuna mwingine aliyeshughulikiwa ?
 
Hivi kwa akili yako hapa unaona Mbowe anashindana na mahakama ? Baada ya Mbowe A.K.A yule jamaa kushughulikiwa na NHC , kuna mwingine aliyeshughulikiwa ?
Mwambie Mbowe alipe deni. Hakuna namna.
 
Kama kashindwa kesi alipe kabisa wala sioni tatizo la kwendelea kushindana mahakamani......
Alipe wapi wakati n fisadi, mnyonyaj, mkwepa kodi, mhujum uchumi wetu, angekua na maadili s angelipa ata mwanzo, dj zero lipa kod yetu tafadhali
 
sio mbaya haki ya mtu haipotei hivi hivi ila hucheleweshwa tu
kama haki haijatendeka kata rufaa
 
sio mbaya haki ya mtu haipotei hivi hivi ila hucheleweshwa tu
kama haki haijatendeka kata rufaa
Sasa kwa kesi hii haki ya Mbowe iko wapi zaidi ya Haki ya kulipa Deni?
 
Back
Top Bottom