NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

Kwa masuala binafsi wanakimbilia mahakamani, kwa maslahi yao ya kisiasa, wanatumia vyombo vya habari, mikutano ya hadhara na maadamano, kudai kile kisichokuwepo, mradi waonekane wapo na wasikike
 
Kuna baadhi ya watu wameingia kwenye siasa si kwakua wana uchungu na nchi na wananchi wake bali ni kwa ajili ya kutumia hiyo nafasi kujinufaisha isivyo halali,ikiwemo kukwepa kodi n.k.
 
Mahakama yaitupilia mbali kesi ya Mbowe dhidi ya Shirika na Nyumba la Taifa (NHC)
 
Wakili msomi hakuwepo, watakoma watakuja kesi nyengine Hahaha
mwigulu kajitokeza kujibu tuhuma.na mwenyekiti aje basi teh
 
Back
Top Bottom