NHC Kijichi hizi bei

NHC Kijichi hizi bei

Zingekuwa Changombe Sigara au Ostabei ya Kurasini ningenunua chapchap
Lakini mtoni hapana kwa hio bei
 
Huwezi kukosa Watanzania wajinga watakaonunua hizo apartment, wengine ni mafisadi na wauza poda watakatishaji fedha.
 
Yaani nitoe milioni 112 kwenye makazi kama mabweni ya wanafunzi wakati nikienda hao kibaha napata kiwanja kikubwa MIta 100 Kwa 100 Kwa shilingi milioni20-30.ukiishi kwenye apartment ni matumizi mabaya pa pesa
Tupeleke huko Kibaha ambapo 100x100 unapata kwa 20m mkuu.

Hata hivyo, bongo kuishi kwenye flats ni kama kuishi utumwani.
 
Tupeleke huko Kibaha ambapo 100x100 unapata kwa 20m mkuu.

Hata hivyo, bongo kuishi kwenye flats ni kama kuishi utumwani.
Magomen kota wahusika wamegoma lipa hela ya taka, ulinzi, umeme
 
Huwezi kukosa Watanzania wajinga watakaonunua hizo apartment, wengine ni mafisadi na wauza poda watakatishaji fedha.
Tupeleke huko Kibaha ambapo 100x100 unapata kwa 20m mkuu.

Hata hivyo, bongo kuishi kwenye flats ni kama kuishi utumwani.
Ila Wabongo mmekariri sana maisha. Watu kibao na pesa zao wanakaa kwenye apartments Upanga,Masaki,Obay,Mikocheni etc. Unafikiri hao hawana uwezo wa kujenga hivi vibanda kama vyetu huku Makabe,Bonyokwa,Segerea etc?
 
Wengi hatujazoea kuishi kwenye apartments, wala sio kuwa nazo, mazoea tu!
 
Wengi hatujazoea kuishi kwenye apartments, wala sio kuwa nazo, mazoea tu!
Sasa mazoea yako yasifanye uone wanaoishi huko wanaishi utumwani. Wanajisikia raha kuliko wangejenga huko kibaha sijui chanila kwenye kiwanja cha sqm1000.
 
Bado monthly home association payment.

Hapo unaweza ambiwa uchangie 300,000 kila mwezi for security, takataka, lift, usafi wa mazingira n.k
 
Beach front house za marekani ni hatari ndio maana zinakua cheap.

Waulize LA ule moto ulichowafanya.
Oh kumbe ,ndiyo maana nilikuwa nashangaa sana Kwenye House hunters Beach Front Houses bei ya kawaida tu ambazo ukilinganisha na Bongo.
 
1 bedroom kwa bei hiyo?

Hapo kiluvya unapata kiwanja tena barabara njia tatu kwenda na kurudi mjini na mwendokasi ipo.
 
Sasa mazoea yako yasifanye uone wanaoishi huko wanaishi utumwani. Wanajisikia raha kuliko wangejenga huko kibaha sijui chanila kwenye kiwanja cha sqm1000.
Ni mawazo yangu na walio wengi, hata tukiongea mitaani wengi sio wapenzi wa kuishi kwenye flats, sikatai wapo wanaopenda, ndio maana nimeongelea majority..hakuna kisicho na exception, sema umechukulia kama vile ni wote
 
Back
Top Bottom