Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,603
Tofautisha imani na mambo ya kimwiliSheria za kadhwi zimewekwa ili kumuadabisha mtu.
Ndio maana dunia ina discipline...
Tofautisha imani na mambo ya kimwiliSheria za kadhwi zimewekwa ili kumuadabisha mtu.
Ndio maana dunia ina discipline...
Zurri ni kweli kiongozi haya yasemwayo na huyu mdogo wangu?
Basi kumbe ni kheri kwa Muislamu kutenda dhambi na akahukumiwa hapahapa duniani ili kule akhera (peponi) asikumbane na adhabu za Mungu au nakosea?Kweli kabisa anayo yasema.
Basi kumbe ni kheri kwa Muislamu kutenda dhambi na akahukumiwa hapahapa duniani ili kule akhera (peponi) asikumbane na adhabu za Mungu au nakosea?
Kwanini unataka atofautishe kati ya imani na mambo ya kimwili ?Tofautisha imani na mambo ya kimwili
"Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili; (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo" #2Kor. 10:3-5Kwanini unataka atofautishe kati ya imani na mambo ya kimwili ?
Wow! Mkuu zuri sasa naanza kupata picha tafadhali soma hii kidogo.Hakuna kheri katika kutenda dhambi,na suala la kufanya toba lina masharti,hili unatakiwa kujua...
Tangu Adam alipotenda dhambi ya kwanza iliyoleta laana kwa vizazi vyote, Mungu aliandaa mpango wa wokovu kwa mwanadamu. Mpango huu wa wokovu umeanza na uzao wa Ibrahim. Kuanzia Ibrahim Mungu aliandaa kizazi na taifa ambalo kupitia hilo Mwokozi atakuja duniani. Kwa kifupi ndilo taifa la Israel. Hivyo kihistoria Israel ni taifa teule na kazi ya Mwokozi kuja kupitia taifa hilo ilishafanyika.Jee taifa la mungu,kizazi teule,watoto barikiwa wa mungu wamekuaje tena??
Waziri wa kwanza anayeshiriki wazi mapenzi ya jinsia moja ateuliwa Israel...
Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.
Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani
Chezea israel wewe. Hatari sana. Unachezea taifa teule. Sisi wengine ni taifa la shetani.Ndo haya mnahubiriwaga na wale Manabii wenu? ujinga kama huu hupaswi kuwaleza Great thinker, kawaeleze waumini wenzenu pale kitaa.
wamekujaSijawahi kumsikia Mkristo yeyote akipasema Saudia kwa kuwauwa wananchi wake kwa adhabu kali kama kuwakata mapanga n.k
Kuwanyima uhuru wanawake na kuweka mfumo dume kupindukia kwa sababu ni mambo ya taifa husika hayatuhusu sisi kama wamalawi, wazambia au waTanzania.
Israel haiwauwi waPalestina ila inalinda usalama wake waPalestina wachache wa Gaza wanafanyaga vurugu unataka waachwe?
India kuna jimbo limekuwa occupied la Kashmir mbona hili hamlizungumzii kuwa waHindu wamelikalia na wanawatwanga kweli kweli waislamu kuliko hata Israel?
Je mnawaogopa wahindi?
Watu weusi wanaopata shida israel ni kweli wapo wengi wao ni waislamu huwezi kuamini na Wakristo wachache ambao walipewa muda maalumu wakukaa na wengi wao wapo kule toka 1997 hawana kazi rasmi.
Serikali inawakata kodi kubwa lengo lkiwa siku wakiamua kuondoka wanapewa yote kodi yao.
(Akufukuzaye akwambii toka)
Wayahudi wanamtambua Yesu katika Hebrew Bible anaitwa Yahweh sasa Google who's Yahweh kama hujafa na kiwewe.
Alafu usiwe muongo kwenye vitu serious Israel Wakristo wapo kama 5% sasa hautambuliki vipi?
. Watakuja wakushambulie wenye taifa lao bana. Sisi nikunyamaza tu na kusema "tutakukumbuka"Haujiulizi kwanini Tanzania siyo taifa teule ingali linasifiwa kwa Amani.My point is hakuna taifa teule hizo zilikuwa ni swagz tu za unyonyaji
Watakuja wakushambulie wenye taifa lao. Wa israel weusi
Huu ndiyo ukweli... ukweli mchungu...Watakuja wakushambulie wenye taifa lao. Wa israel weusi