Nguvu ya ushoga Israel: Baada ya Meya, sasa Waziri shoga maarufu ateuliwa

Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Sasa kwani nchi ulizozitaja wewe zinatumia sheria za kidini ata useme ni religious state?
Inaonyesha huna uelewa wa kutosha kwenye haya mambo iran, Saudia, Oman na washirika wote wa muungano wa nchi za kiislamu wanatumia "Sharia law" ambazo ndizo zinafanya wananchi wake wengi kukimbia na kwenda kuishi America na Ulaya (Kwa mnaowaita makafiri)

Kweli hatuwezi kuwa na uelewa sawa, na suala lako la kuwa kama muislam atapona, hilo lisikushulishe, sisi ukitupiga tunakupiga. Hilo swali ujiulize wewe mkristo unaegeuza shavu la kushota, utabaki ndani ya jewish state? watu waliomsulubu na kumkataa yesu!
Yesu alisurubiwa kwa amri ya pontio pilato ambaye alikuwa gavana wa kirumi wakati huo Rumi ndio ilikuwa ikitawala eneo kubwa la dunia kama si lote.

Wakati huo wayahudi pekee ndio walikuwa wakihesabika watakatifu kwa sababu Mungu alikuwa akijidhihirisha kwao tu na si watu wa mataifa kama Biblia ielezavyo kwenye vitabu vya mataifa kama Wafilipi, waefeso, n.k
Sasa Askari wakirumi ndio waliomsurubu Yesu masihi wa bwana na kumuuwa na akafufuka siku ya tatu kutoka katika wafu alifufuka siku ya pasaka na akapaa mbinguni.

Wayahudi wao ndio waliochochea kuuliwa kwake na Yesu aliyajua haya kabla.

mimi sikazi videm vya mtaani. Sasa wewe unaejisifia uzinzi pole sana. Taifa la mungu haliwezi kuhalalisha ushoga na wewe ukakaa ukaona ni sawa eti haki ya faragha. Wewe mwanao wa kiume akipumuliwa unaona ni sawa? utaachia tu na kusema ni uamuzi wake binafsi? Tuambizane kama wewe ni miongoni mwa walioharibiwa kanisani! maana Mwanaume wa kweli hawezi kabisa kusema huo ni uamuzi wa binafsi bali anatakiwa akemee.
Usichanganye mambo binafsi na mambo ya kitaifa rudi shule ukajifunze.
Israel si taifa langu israel ina katiba yake, ina watu wake ila tunaunganishwa nayo kupitia (IMANI)
Wewe na uislamu wako hata siku moja huwezi kuingilia chochote hata muungane waislamu wa mataifa yote kupinga wanaharakati watakaouliwa mwezi ujao hamuwezi ile ni sovereignty state inayoongozwa na "Sharia law"

hii inafikirisha. Torati ameshusha Mungu, sasa hivi unakiri kuwa uyahudi na ukiristo hauna maneno ya Mungu! :D
Kusoma ni kuelewa, Yesu alikuja duniani kutimiliza yale yalioanzishwa na manabii waliomtangulia kuna tofauti kati ya kutimiliza na kuthibitisha.

Yesu alileta habari njema hakuleta matengano hakuleta vita hakuleta ubaya, ndio maana tunaambiwa mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia huo ndio upendp wa Mungu, Mungu ndiye atamuhukumu huyo mtu na si wewe.

Nyinyi mkipigwa na nyie mnpiga sasa kazi ya mungu ni nini kwa mujibu wa imani yenu?
Mnauwa kazi ya Mungu ni nini sasa uko peponi?

Ule mjadala wa kule umesepa baada ya kukuletea aya kutoka kwa yesu!
HAKUNA MJADALA NIMEUKIMBIA
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Nina mashaka na wewe kama Siyo bwabwa.
Tuheshimiane nitakuharibia siku, najitahidi sana kuwa muungwana kwa kujibu kwa hoja na kuuliza maswali yasiyo ya kukera unanitusi.

Mimi ni muhuni hujawahi kushuhudia I'm thug than unavyofikiri jiheshimu TAFADHALI usidhani huku ni Instagram unakopost ufala wanawake za watu unawapost kikudakuda na hawakufanyi kitu ukahisi nitakuvumilia unitusi.

Nakusisitiza tena jiheshimu kama huna hoja just ignore me ipite ohooo
 
MAKOSHNELI

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
685
Points
1,000
MAKOSHNELI

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
685 1,000
NI MAZWAZWA WACHACHE SANA BADO WANAAMINI ISRAELI NI TAIFA TEULE NIMEWAHI ANDIKIA THREAD KUHUSU HILI TAIFA FAKE LINK HII HAPA SOMENI
 
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
5,121
Points
2,000
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
5,121 2,000
Inaonyesha huna uelewa wa kutosha kwenye haya mambo iran, Saudia, Oman na washirika wote wa muungano wa nchi za kiislamu wanatumia "Sharia law" ambazo ndizo zinafanya wananchi wake wengi kukimbia na kwenda kuishi America na Ulaya (Kwa mnaowaita makafiri)
Bila shaka itakuwa wewe ndio huna uelewa kwa sababu sheria law huijui masikini unaisikia tu kwenye BBC Fox news na media kama izo. AGAIN, DONT TALK ABOUT THAT WHICH YOU DONT KNOW ABOUT!

Yesu alisurubiwa kwa amri ya pontio pilato ambaye alikuwa gavana wa kirumi wakati huo Rumi ndio ilikuwa ikitawala eneo kubwa la dunia kama si lote.

Wakati huo wayahudi pekee ndio walikuwa wakihesabika watakatifu kwa sababu Mungu alikuwa akijidhihirisha kwao tu na si watu wa mataifa kama Biblia ielezavyo kwenye vitabu vya mataifa kama Wafilipi, waefeso, n.k
Sasa Askari wakirumi ndio waliomsurubu Yesu masihi wa bwana na kumuuwa na akafufuka siku ya tatu kutoka katika wafu alifufuka siku ya pasaka na akapaa mbinguni.

Wayahudi wao ndio waliochochea kuuliwa kwake na Yesu aliyajua haya kabla.
Sasa jiulize ikiwa hadi leo hawamtambui Yesu, mna salama nyie pakianzishwa taifa la kiyahudi rasmi?

Usichanganye mambo binafsi na mambo ya kitaifa rudi shule ukajifunze.
Israel si taifa langu israel ina katiba yake, ina watu wake ila tunaunganishwa nayo kupitia (IMANI)
Wewe na uislamu wako hata siku moja huwezi kuingilia chochote hata muungane waislamu wa mataifa yote kupinga wanaharakati watakaouliwa mwezi ujao hamuwezi ile ni sovereignty state inayoongozwa na "Sharia law"
Ona sasa! Kwani Saudia sio sovereign state? Oman? Iran? Yemen? n.k Kwani nyie mnaweza kuamua chochote ata mkiungana Israel isue mtu? :D

Kusoma ni kuelewa, Yesu alikuja duniani kutimiliza yale yalioanzishwa na manabii waliomtangulia kuna tofauti kati ya kutimiliza na kuthibitisha.

Yesu alileta habari njema hakuleta matengano hakuleta vita hakuleta ubaya, ndio maana tunaambiwa mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia huo ndio upendp wa Mungu, Mungu ndiye atamuhukumu huyo mtu na si wewe.

Nyinyi mkipigwa na nyie mnpiga sasa kazi ya mungu ni nini kwa mujibu wa imani yenu?
Mnauwa kazi ya Mungu ni nini sasa uko peponi?
Unasema kuwa Uyahudi na ukiristo hamna tena torati, mi nataka nikuulize, torati ni maneno ya nani?

HAKUNA MJADALA NIMEUKIMBIA
Sijaona majibu baada ya Aya ya yesu alosema kaja kuleta vita :D
 
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Messages
564
Points
500
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2018
564 500
TAFADHALI usidhani huku ni Instagram unakopost ufala wanawake za watu unawapost kikudakuda na hawakufanyi kitu ukahisi nitakuvumilia unitusi.
SINA ACCOUNT IG NINAYO POST WANAWAKE.LABDA UNANIFANANISHA MAJINA NA IG NIMEACHA KUINGIA ZAMANI SANA.IWEKE TUONE.USINIFANANISHE MKUU.IWEKE HIYO ACCOUNT WATU WAIONE.
 
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Messages
564
Points
500
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2018
564 500
Mtu unaanzaje kusapoti ushoga.Kuna watu vipofu.
 
M

Mzee Mukaruka

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Messages
521
Points
250
M

Mzee Mukaruka

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2012
521 250
Jee taifa la mungu,kizazi teule,watoto barikiwa wa mungu wamekuaje tena??

Waziri wa kwanza anayeshiriki wazi mapenzi ya jinsia moja ateuliwa Israel

Mwanaume wa kwanza kutangaza wazi kuwa anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja ameteuliwa kuwa waziri na Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Amir Ohana, kutoka chama cha Natanyahu cha Likud , amemteua kama kaimu waziri wa sheria kufuatia kufutwa kazi kwa mtangulizi wake.

Bwana Ohana, mwenye umri wa miaka 43, ni mfuasi sugu wa Netanyahu , ambaye aliunga mkono hatua za kumlinda waziri mkuu dhidi ya kushtakiwa.

Uteuzi wake unakuja siku kadhaa baada ya bunge kuvunjwa kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mpya.
Bwana Netanyahu alimfuta kazi waziri wa sheria aliyekuwepo madarakani , Ayelet Shaked, miezi mitatu iliyopita.

Chama cha Shake ,ambacho kilikuwa sehemu ya serikali ya muungano wa Netanyahu, hakikupata viti vya kutosha kukiwezesha kurejea bungeni katiika uchaguzi wa mwezi Mei.

Waisrael watafanya tena uchguzi mwezi wa Septemba baada ya Bwana Netanyahu kushindwa kupata uungaji mkono wa kutosha kutoka kwa vyama kumuwezesha kuunda serikali ya mpito.

Ikitangaza utuzi wake, ofisi ya waziri mkuu ilisema kuwa Bwana Ohana ambaye ana taaluma ya sheria ni mwenye uelewa mkubwa sana mfumo wa sheria''

Bwana Ohana ni mfuasi sugu wa Netanyahu, na ametumia juhudi zake zote kuunga mkono muswada tata uliomuwezesha waziri mkuu aliyeko madarakani kuwa na kinga ya kutoshtakiwa.

Bwana Netanyahu anachunguzwa kwa madai rushwa na ufisadi na anaweza kushtakiwa miezi michache ijayo .Anakanusha vikali shutuma dhidi yake.

Bwana Ohanani mwanaharakati wa haki za wapenzi wa jinsia moja , ambaye anatetea ndoa za jinsia moja, jambo ambalo halitambuliki nchini Israeli isipokuwa kwa wale watakaoamua kufunga ndoa yao nje ya nchi . Mwaka jana apinga muswada wa sheria uliopiga marufuku ubaguzi wa wapenzi wa jinsia moja kwa kuzingatia utambulisho.

Ingawa haki za wapenzi wa jinsia moja zinapingwa na jamii ya Wayahudi nchini Israeli, kwa ujumla taifa hilo limekuwa na mafanikio katika kucommunity zenye sheria inayowalinda wapenzi wa jinsia moja .

My take:Wafuasi wa imani B kazi mnayo maana sasa sielewi kitabu chenu kikoje maana hawa ni watoto wa mungu kabisa

Source:BBC SWAHILI
Kwanza nakuunga mkono kuwa hawa ni watoto wa "mungu", mungu wa herufi "m" NDOGO. Badala ya Mugu wetu wa BIG "M". Hivyo this cab any god but not the Amighty God of Heaven, the Creator of the seen and the unseen.
 
M

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Messages
3,287
Points
2,000
M

moesy

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2012
3,287 2,000
Kwanza nakuunga mkono kuwa hawa ni watoto wa "mungu", mungu wa herufi "m" NDOGO. Badala ya Mugu wetu wa BIG "M". Hivyo this cab any god but not the Amighty God of Heaven, the Creator of the seen and the unseen.
Rudi shule ukajifunze kuandika
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,148
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,148 2,000
Wewe ndio umezidiwa mahaba watanzania ushoga sio utamaduni wetu lakini tunaacha tatizo lililoko kwetu tunakimbilia kujadili tatizo la watu wengine Sasa happy nani ana mahaba wewe au Mimi
Kwahiyo wazanzibar ndio utamaduni wao sio? Ila israel sio utamaduni wao!!! Wanasingiziwa sio!!
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,790
Points
2,000
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,790 2,000
Huijui Biblia ni bora unyamaze.
Unajua kuwa Torati haifanyi tena kazi?
Unafahamu Yesu alikuja kufanya nini duniani?
Unafahamu Yesu alikuja kwa ajili ya wasio amini?
Unafahamu Bible haisomwi bila kuunganisha dots?
Hahahaha my friend ni bora ukae kimya
Hukunielewa labda niweke hivi kwamba kama tutaishi kwa kufuata mafundisho ya Yesu mwanzo mwisho basi watu wadhulumiwa sana mali zao na hakutakuwa wa kuwasaidia maana hakuna kuhukumiana hivyo ukidhulumiwa we kubali tu subiri hukumu kwa Mungu.

Yani magaidi wangekuwa wanauwa tu watakavyo hakuna wa kupambana nao maana Yesu anafundisha amani tu hajafundisha kulinda hiyo amani ambapo wakati mwengine inabidi yawepo mapigano ili uweze kuilinda hiyo amani kama tunavyoona sasa mataifa mbambali yakipambana na ugaidi.
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Hukunielewa labda niweke hivi kwamba kama tutaishi kwa kufuata mafundisho ya Yesu mwanzo mwisho basi watu wadhulumiwa sana mali zao na hakutakuwa wa kuwasaidia maana hakuna kuhukumiana hivyo ukidhulumiwa we kubali tu subiri hukumu kwa Mungu.

Yani magaidi wangekuwa wanauwa tu watakavyo hakuna wa kupambana nao maana Yesu anafundisha amani tu hajafundisha kulinda hiyo amani ambapo wakati mwengine inabidi yawepo mapigano ili uweze kuilinda hiyo amani kama tunavyoona sasa mataifa mbambali yakipambana na ugaidi.
Mkuu, uwe unasoma Biblia pale unapoambiwa jambo na Sheikh, imam au maulamaa au waumini wenzio ili kuonyesha ukomavu wako katika kusoma Elimu mbalimbali.

Kwenye Ukristo hatuna kitu kinaitwa "Christianity law" wala chochote chenye msingi wa sheria. Kama ilivyo kwenye uislamu mnavyotumia "Sharia law" ama TORATI.

Mfano mtu kanidhulumu shilingi laki moja sina haja ya kumfuata na mapanga au kumfungulia mashtaka (Kwa mujibu wa imani yangu) Malipo huwa ni hapahapa duniani ni lazima alipe kwa namna yoyote hata kama si kwangu ule uchungu nilioupata lazima nae aupate hivyo ndivyo Mungu hujipambanua kwetu.

Mwanadamu kazi yake si kuhukumu ni kusamehe sisi tunaakbiwa samehe 7×70.

Maandiko ya Yesu mkuu ukitaka kuyasoma barabara unaweza kujiuliza huyu alikuwa na akili gani kwa sababu ni Master wa mifano na pia Master wa misamiati.
 
Glenohumeral joint

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Messages
1,662
Points
2,000
Glenohumeral joint

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2017
1,662 2,000
Acha wafilane tu....
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,440
Points
2,000
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,440 2,000
Mkuu, uwe unasoma Biblia pale unapoambiwa jambo na Sheikh, imam au maulamaa au waumini wenzio ili kuonyesha ukomavu wako katika kusoma Elimu mbalimbali.

Kwenye Ukristo hatuna kitu kinaitwa "Christianity law" wala chochote chenye msingi wa sheria. Kama ilivyo kwenye uislamu mnavyotumia "Sharia law" ama TORATI.

Mfano mtu kanidhulumu shilingi laki moja sina haja ya kumfuata na mapanga au kumfungulia mashtaka (Kwa mujibu wa imani yangu) Malipo huwa ni hapahapa duniani ni lazima alipe kwa namna yoyote hata kama si kwangu ule uchungu nilioupata lazima nae aupate hivyo ndivyo Mungu hujipambanua kwetu.

Mwanadamu kazi yake si kuhukumu ni kusamehe sisi tunaakbiwa samehe 7×70.

Maandiko ya Yesu mkuu ukitaka kuyasoma barabara unaweza kujiuliza huyu alikuwa na akili gani kwa sababu ni Master wa mifano na pia Master wa misamiati.
Ningejua ungeutetea ushoga kiasi hichi...Tena kwa hoja dhaifu kabisa by the way huenda unasukumwa tope wewe
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Ningejua ungeutetea ushoga kiasi hichi...Tena kwa hoja dhaifu kabisa by the way huenda unasukumwa tope wewe
Mamake, tuheshimiane fala wewe mimi sio m senge.
Narudia tena kukusisitiza acha ukum.anina nitakufanya ujione mavi yale unayobakizaga baada ya kuchamba mskitin
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,440
Points
2,000
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,440 2,000
Mamake, tuheshimiane fala wewe mimi sio m senge.
Narudia tena kukusisitiza acha ukum.anina nitakufanya ujione mavi yale unayobakizaga baada ya kuchamba mskitin
Acha povu dogo...acha uchoko
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,790
Points
2,000
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,790 2,000
Mkuu, uwe unasoma Biblia pale unapoambiwa jambo na Sheikh, imam au maulamaa au waumini wenzio ili kuonyesha ukomavu wako katika kusoma Elimu mbalimbali.
Kwenye Ukristo hatuna kitu kinaitwa "Christianity law" wala chochote chenye msingi wa sheria. Kama ilivyo kwenye uislamu mnavyotumia "Sharia law" ama TORATI.
Mfano mtu kanidhulumu shilingi laki moja sina haja ya kumfuata na mapanga au kumfungulia mashtaka (Kwa mujibu wa imani yangu) Malipo huwa ni hapahapa duniani ni lazima alipe kwa namna yoyote hata kama si kwangu ule uchungu nilioupata lazima nae aupate hivyo ndivyo Mungu hujipambanua kwetu.
Mwanadamu kazi yake si kuhukumu ni kusamehe sisi tunaakbiwa samehe 7×70.
Maandiko ya Yesu mkuu ukitaka kuyasoma barabara unaweza kujiuliza huyu alikuwa na akili gani kwa sababu ni Master wa mifano na pia Master wa misamiati.
Utanielewa tu.
Ndio nimekwambia laiti kama tungekuwa tunafuata mafundisho ya Yesu basi dunia ingekuwa mahala pabaya zaidi kuishi,nimekupa mfano leo hii dunia inapambana na magaidi ila mafundisho ya Yesu hayataki hivyo bali mafundisho yanataka magaidi tuwaachie tu magaidi yatuuwe hadi yatumalize na Mungu ndio atahukumu.

Hivi kweli tungefuata mafundisho hayo unafikiri dunia ingekuaje?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Utanielewa tu.

Ndio nimekwambia laiti kama tungekuwa tunafuata mafundisho ya Yesu basi dunia ingekuwa mahala pabaya zaidi kuishi,nimekupa mfano leo hii dunia inapambana na magaidi ila mafundisho ya Yesu hayataki hivyo bali yanataka magaidi tuwaachie tu magaidi yatuuwe hadi yatumalize na Mungu ndio atahukumu.
Kuna secular laws na religion laws kiongozi tofautisha hivi vitu viwili.

Sheria za kidini (uislamu) zinahukumu kuponda mawe hadi kufa, kunyonga, kukata vichwa, kukata viganja n.k

Sheria zisizo zakidini yani hazifungamani na upande wowote, zipo kwa ajili ya mambo yasiyo ya kiimani huwezi kupeleka kesi inayohusu mambo ya kidini mahakamani (Hapa naomba nieleweke ni mambo yale tu yasiyolenga kuleta uvunjifu wa amani au chuki)

Mfano Sheikh au Mchungaji anamtuhumu muamini kuiba sadaka n.k

Mkuu unamnukuu vibaya Kristo Yesu, hamaanishi ugaidi uachwe watu wauwawe au wauwane n.k Yesu alileta injili na injili ni habari njema kwa wote asiyeamin ndiye atafanya huo upuuzi Mkristo yeyote aliyebatizwa ana huruma na ana upendo kwa kuwa ndiyo amri yetu kuu.

Biblia inatuambia watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, jitahidi kuyasoma maandiko unayoyasikia vyema na jaribu kuunganisha verses mbalimbali
 
Forum statistics

Threads 1,315,679
Members 505,292
Posts 31,866,577
Top