Nguvu ya ushoga Israel: Baada ya Meya, sasa Waziri shoga maarufu ateuliwa

kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,440
Points
2,000
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,440 2,000
Jee taifa la mungu,kizazi teule,watoto barikiwa wa mungu wamekuaje tena??

Waziri wa kwanza anayeshiriki wazi mapenzi ya jinsia moja ateuliwa Israel

Mwanaume wa kwanza kutangaza wazi kuwa anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja ameteuliwa kuwa waziri na Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

Amir Ohana, kutoka chama cha Natanyahu cha Likud , amemteua kama kaimu waziri wa sheria kufuatia kufutwa kazi kwa mtangulizi wake.

Bwana Ohana, mwenye umri wa miaka 43, ni mfuasi sugu wa Netanyahu , ambaye aliunga mkono hatua za kumlinda waziri mkuu dhidi ya kushtakiwa.

Uteuzi wake unakuja siku kadhaa baada ya bunge kuvunjwa kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi mpya.
Bwana Netanyahu alimfuta kazi waziri wa sheria aliyekuwepo madarakani , Ayelet Shaked, miezi mitatu iliyopita.

Chama cha Shake ,ambacho kilikuwa sehemu ya serikali ya muungano wa Netanyahu, hakikupata viti vya kutosha kukiwezesha kurejea bungeni katiika uchaguzi wa mwezi Mei.

Waisrael watafanya tena uchguzi mwezi wa Septemba baada ya Bwana Netanyahu kushindwa kupata uungaji mkono wa kutosha kutoka kwa vyama kumuwezesha kuunda serikali ya mpito.

Ikitangaza utuzi wake, ofisi ya waziri mkuu ilisema kuwa Bwana Ohana ambaye ana taaluma ya sheria ni mwenye uelewa mkubwa sana mfumo wa sheria''

Bwana Ohana ni mfuasi sugu wa Netanyahu, na ametumia juhudi zake zote kuunga mkono muswada tata uliomuwezesha waziri mkuu aliyeko madarakani kuwa na kinga ya kutoshtakiwa.

Bwana Netanyahu anachunguzwa kwa madai rushwa na ufisadi na anaweza kushtakiwa miezi michache ijayo .Anakanusha vikali shutuma dhidi yake.

Bwana Ohanani mwanaharakati wa haki za wapenzi wa jinsia moja , ambaye anatetea ndoa za jinsia moja, jambo ambalo halitambuliki nchini Israeli isipokuwa kwa wale watakaoamua kufunga ndoa yao nje ya nchi . Mwaka jana apinga muswada wa sheria uliopiga marufuku ubaguzi wa wapenzi wa jinsia moja kwa kuzingatia utambulisho.

Ingawa haki za wapenzi wa jinsia moja zinapingwa na jamii ya Wayahudi nchini Israeli, kwa ujumla taifa hilo limekuwa na mafanikio katika kucommunity zenye sheria inayowalinda wapenzi wa jinsia moja .

My take:Wafuasi wa imani B kazi mnayo maana sasa sielewi kitabu chenu kikoje maana hawa ni watoto wa mungu kabisa

Source:BBC SWAHILI
 
nsharighe

nsharighe

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
1,008
Points
2,000
nsharighe

nsharighe

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
1,008 2,000
Picha hamna!?
 
Y

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2018
Messages
918
Points
1,000
Y

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2018
918 1,000

Sasa hao wa imani B wanahusikaje kwenye uzi wako?

Huu uzi umeletwa kwaajili ya huyo aliyeteuliwa kuwa waziri au kwaajili ya watu wa imani B fafanua.
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
7,612
Points
2,000
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
7,612 2,000
Duuh aisee
 
K

kikuna

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2015
Messages
2,129
Points
2,000
K

kikuna

JF-Expert Member
Joined May 26, 2015
2,129 2,000
Wayahudi weusi wa kitanzania watakuja hapa .....
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.

Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,440
Points
2,000
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,440 2,000
Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.

Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani
Kumbe unasupport huo uchafu?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Kumbe unasupport huo uchafu?
Siuungi mkono, lakini si kwamba Israel hakuna mabaya yapo mengi tu na haimaanishi yanafanywa na watu wote.

ndio maana nikakupa taarifa sahihi kuwa Israel sio religion state ni secular.
iran kuna dhambi, Saudia kuna dhambi Tanzania kuna dhambi na kote huku kuna mashoga kataa sasa
 
R

RTI

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
205
Points
500
R

RTI

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
205 500
Siuungi mkono, lakini si kwamba Israel hakuna mabaya yapo mengi tu na haimaanishi yanafanywa na watu wote.

ndio maana nikakupa taarifa sahihi kuwa Israel sio religion state ni secular.
iran kuna dhambi, Saudia kuna dhambi Tanzania kuna dhambi na kote huku kuna mashoga kataa sasa
Haaaa kwahiyo sasa hivi sio taifa la mungu tens?
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,440
Points
2,000
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,440 2,000
Siuungi mkono, lakini si kwamba Israel hakuna mabaya yapo mengi tu na haimaanishi yanafanywa na watu wote.

ndio maana nikakupa taarifa sahihi kuwa Israel sio religion state ni secular.
iran kuna dhambi, Saudia kuna dhambi Tanzania kuna dhambi na kote huku kuna mashoga kataa sasa
Iran huwa inawanyonga hawa wanyama

Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Iran huwa inawanyonga hawa wanyama

Unaona laana hiyo, hivi mwenye jukumu la kuhukumu ni Mungu au mwanadamu? Hapa sizungumzii secular courts

sasa kwanini mtu asiogope kujiunga na uislamu iwa hofu kama hizi?
kuna taratibu za kuwabadilisha hawa watu na ikishindikana waache watajijua wao
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Haaaa kwahiyo sasa hivi sio taifa la mungu tens?
Israel ni taifa la kwanza duniani kote kuwa taifa teule la Mungu na wana wake walibarikiwa na hii kitu haijawahi kuondolewa na Mungu wala Nabii yoyote.

Wakati mfalme Daudi akipambana na Goliath mtu wa mataifa aliuliza huyu mbwa ni nani ambaye hajatahiriwa zamani za kale wana waIsrael wote walikuwa wakitahiriwa na watu wa mataifa walikuwa wakiitwa Mbwa "Kunarion".

baada ya ujio wa Yesu hivyo vyote vikaondoshwa watu wa mataifa si Mbwa tena tuna.
israel ni taifa la ajabu sana brother limezungukwa na maadui lakini hakuna wanachomfanya wanamuogopa ayayaya yani pale ndipo miujiza ya Mungu ilipo.

kusini, kaskazini, Mashariki, Magharibi kote kazungukwa na maadui ila sasa hivi Saudia si adui tena ni Rafiki 😂😂 hata Egypt si adui tena pale kuna kichwa kimepandikizwa Al-sisi Saudia Kuna prince salman
 
M

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Messages
1,291
Points
2,000
M

MURUSI

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2013
1,291 2,000
Israel ni taifa la kwanza duniani kote kuwa taifa teule la Mungu na wana wake walibarikiwa na hii kitu haijawahi kuondolewa na Mungu wala Nabii yoyote.

Wakati mfalme Daudi akipambana na Goliath mtu wa mataifa aliuliza huyu mbwa ni nani ambaye hajatahiriwa zamani za kale wana waIsrael wote walikuwa wakitahiriwa na watu wa mataifa walikuwa wakiitwa Mbwa "Kunarion".

baada ya ujio wa Yesu hivyo vyote vikaondoshwa watu wa mataifa si Mbwa tena tuna.
israel ni taifa la ajabu sana brother limezungukwa na maadui lakini hakuna wanachomfanya wanamuogopa ayayaya yani pale ndipo miujiza ya Mungu ilipo.

kusini, kaskazini, Mashariki, Magharibi kote kazungukwa na maadui ila sasa hivi Saudia si adui tena ni Rafiki hata Egypt si adui tena pale kuna kichwa kimepandikizwa Al-sisi Saudia Kuna prince salman
Ndo haya mnahubiriwaga na wale Manabii wenu? ujinga kama huu hupaswi kuwaleza Great thinker, kawaeleze waumini wenzenu pale kitaa.
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,401
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,401 2,000
Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.

Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani
Kinachosikitisha ni kuwa Leo taifa teule linaanza kuongozwa na mashoga.
Wewe Dripboy unaona hili jambo ni sawa au?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Kinachosikitisha ni kuwa Leo taifa teule linaanza kuongozwa na mashoga.
Wewe Dripboy unaona hili jambo ni sawa au?
Si sawa kama ataleta siasa za ushoga kwa watu atakao waongoza na ni sawa kaka itabaki kuwa maisha yake binafsi aufanye yeye na mashoga wenzake.
 
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,401
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,401 2,000
Si sawa kama ataleta siasa za ushoga kwa watu atakao waongoza na ni sawa kaka itabaki kuwa maisha yake binafsi aufanye yeye na mashoga wenzake.
Mtu yyt anaweza kuamua kuwa shoga na wengine isiwahusu wao lkn unapokuwa kiongozi tena ktk nchi ambayo inaaminiwa na wakristo kuwa ni taifa teule la Mungu basi mtu huyo lzm apigwe vita sana mpk aachie hio nafasi. La Sivyo kesho akitokea mchungaji Kanisani akiamua kuwa shoga hatutokuwa na haki ya kumkataa matokeo yake na watoto wetu pia watafuata huko huko.
Kutahamaki jamii inageuka kama ile ya SODOMA NA GOMORA.

Mtu akiamua aolewe na mwanamme mwenzake akafanye huko pembeni lkn asituongoze sisi wala watu ambao wanaamini kuwa Mungu aliumba ADAM NA EVE sio ADAM na STEVE

Ingekuwa ni waziri huko Ulaya wala watu wasingesema kitu .
 
Omary Ndama

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2017
Messages
3,027
Points
2,000
Omary Ndama

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2017
3,027 2,000
Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.

Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani
Kumbuka Ni Taifa teule la mungu,au wewe hijakaririshwa hivyo mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,315,675
Members 505,292
Posts 31,866,470
Top