Nguvu ya ushoga Israel: Baada ya Meya, sasa Waziri shoga maarufu ateuliwa

Basi kumbe ni kheri kwa Muislamu kutenda dhambi na akahukumiwa hapahapa duniani ili kule akhera (peponi) asikumbane na adhabu za Mungu au nakosea?

Hakuna kheri katika kutenda dhambi,na suala la kufanya toba lina masharti,hili unatakiwa kujua.

Hukumu katika adhabu huwa ni kafara ya dhambi,yaani adhabu inafuta dhambi husika. Mathalani katika nchi zinazo endeshwa kwa sheria ya kiislamu kama mzinifu aliye kwenye ndoa,akihukumiwa kupigwa mawe mpaka kufa, ujue hiyo hukumu ndio kafara ya dhambi hiyo yaani imefuta dhambi husika, kama una madhambi mengine ambayo huku yatubia basi utahukumiwa kwa madhambi hayo.

Hapa nakupa ziada,katika uislamu kuna madhambi mengine ambayo ni madogo madogo huwa yanafutwa kwa baadhi ya matendo na madhambi makubwa huwa hayafutwi mpaka ufanye toba.
 
Haujiulizi kwanini Tanzania siyo taifa teule ingali linasifiwa kwa Amani.My point is hakuna taifa teule hizo zilikuwa ni swagz tu za unyonyaji
 
Kwanini unataka atofautishe kati ya imani na mambo ya kimwili ?
"Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili; (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;) tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo" #2Kor. 10:3-5

Sababu ni hii, yani kwa imani yetu (Wakristo) hatuutegemei mwili na ukiutegemea mwili huwezi kuuona utukufu wa Kristo
 
Hakuna kheri katika kutenda dhambi,na suala la kufanya toba lina masharti,hili unatakiwa kujua...
Wow! Mkuu zuri sasa naanza kupata picha tafadhali soma hii kidogo.

Agano la kale ni amri kumi za mungu + kafara za wanyama kwaajili ya ondoleo la dhambi kwa waasi wa amri kumi. Na agano jipya ni amri kumi za mungu + kafara ya yesu kristo kwaajili ya ondoleo la dhambi kwa waasi wa amri kumi ila tofaut ni kwamba agano la kale walienenda kimwili ndo maana nguvu ya mwili ikawa kubwa na nia ya mwili ni uadui juu ya mungu kwa maana haiwez kutii sheria ya mungu rum8:4-6, nia iliwafanya kufa katka dhambi2kor3:1-17 kwan kristo alikuwa hajafunuliwa bado ambaye ni mjumbe wa agano jipy baada ya kufunuliwa kwa kristo kwa njia ya roho wake mtakatifu amri kumi zinahama kutoka kwenye mbao 2 za mawe na roho mtakatifu kuziandika kwenye ubao wa moyo wa mwanadamu na ndio agano jipya. Na ndio tafsiri sahih ya ebr sur ya 8, 9, na 10
 
Ushogha Israeli hawakuanza leo, bali walifanya zamani sana enzi za Sodoma na Gomorah, Mungu akawaadhibu bila kuwateketeza wote bali alimkabidhi Nuhu kuendeleza taifa hilo.

Kwa hiyo wakirudia, bado atamwambia Nuhu mwingine aunde safina la kuwandeleza watiifu na kuwaangamiza hao wasiofaa lakini haangamizi taifa lote.
 
Ndugu yangu Waisraeli tangu wakupige mimba umechanganyikiwa kabisa.
Kila ukiongeza chuki jamaa zako wanaendelea kudundwa tu na Waisraeli.
 
Wale Waisraeli sio wanafiki.
Watu wenye jamii ya Kiarabu ndio wanaoongoza kwa ushoga na kufirana sema tu ni wanafiki hawataki kukubali kuwa kuna tatizo.
Mfano ni Zanzibar mashoga wengi sana. Kuna wapemba wengi sana wanatutongoza Kariakoo na swala zote wanahudhuria
 
Jee taifa la mungu,kizazi teule,watoto barikiwa wa mungu wamekuaje tena??


Waziri wa kwanza anayeshiriki wazi mapenzi ya jinsia moja ateuliwa Israel...
Tangu Adam alipotenda dhambi ya kwanza iliyoleta laana kwa vizazi vyote, Mungu aliandaa mpango wa wokovu kwa mwanadamu. Mpango huu wa wokovu umeanza na uzao wa Ibrahim. Kuanzia Ibrahim Mungu aliandaa kizazi na taifa ambalo kupitia hilo Mwokozi atakuja duniani. Kwa kifupi ndilo taifa la Israel. Hivyo kihistoria Israel ni taifa teule na kazi ya Mwokozi kuja kupitia taifa hilo ilishafanyika.

Pia maandiko ya biblia yanatuambia Israeli ni taifa ambalo kupitia hilo tunaweza kujua kama ulimwengu tupo katika nyakati gani tunapoelekea mwisho wa dunia. Yako mambo ambayo yatatokea katika taifa hilo ambayo yameandikwa lazima yatokee kama sehemu ya mfululizo wa matukio ya kuelekea mwisho wa dunia.

Hivyo Mungu amechagua Israeli kwa jinsi hiyo, siyo kwa utakatifu wa watu wake. Na hata mtu akatae kuwa Israeli sio taifa teule, au hata waisraeli wenyewe wajikatae kuwa si taifa teule lakini hayo yaliyoandikwa kwa ajili yao lazima yatimie. Kwa hiyo suala la kwamba ni taifa teule au siyo taifa teule inategemea unamaanisha nini, lakini maandiko kuhusu Israeli yalitimia na yaliyobakia kutimia yatatimia pia.

Siku nyingine naweza kuja na references from bible kwa leo niishie .
 
Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.

Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani

Wamekuja. Huwa hawataki kuelewa. Ukiwagusa israel tu wanakushambulia vikali
 
Ndo haya mnahubiriwaga na wale Manabii wenu? ujinga kama huu hupaswi kuwaleza Great thinker, kawaeleze waumini wenzenu pale kitaa.
Chezea israel wewe. Hatari sana. Unachezea taifa teule. Sisi wengine ni taifa la shetani.
 
Sijawahi kumsikia Mkristo yeyote akipasema Saudia kwa kuwauwa wananchi wake kwa adhabu kali kama kuwakata mapanga n.k

Kuwanyima uhuru wanawake na kuweka mfumo dume kupindukia kwa sababu ni mambo ya taifa husika hayatuhusu sisi kama wamalawi, wazambia au waTanzania.

Israel haiwauwi waPalestina ila inalinda usalama wake waPalestina wachache wa Gaza wanafanyaga vurugu unataka waachwe?

India kuna jimbo limekuwa occupied la Kashmir mbona hili hamlizungumzii kuwa waHindu wamelikalia na wanawatwanga kweli kweli waislamu kuliko hata Israel?
Je mnawaogopa wahindi?

Watu weusi wanaopata shida israel ni kweli wapo wengi wao ni waislamu huwezi kuamini na Wakristo wachache ambao walipewa muda maalumu wakukaa na wengi wao wapo kule toka 1997 hawana kazi rasmi.

Serikali inawakata kodi kubwa lengo lkiwa siku wakiamua kuondoka wanapewa yote kodi yao.
(Akufukuzaye akwambii toka)

Wayahudi wanamtambua Yesu katika Hebrew Bible anaitwa Yahweh sasa Google who's Yahweh kama hujafa na kiwewe.

Alafu usiwe muongo kwenye vitu serious Israel Wakristo wapo kama 5% sasa hautambuliki vipi?
wamekuja
 
Haujiulizi kwanini Tanzania siyo taifa teule ingali linasifiwa kwa Amani.My point is hakuna taifa teule hizo zilikuwa ni swagz tu za unyonyaji
. Watakuja wakushambulie wenye taifa lao bana. Sisi nikunyamaza tu na kusema "tutakukumbuka"
 
Back
Top Bottom