Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 12,274
- 6,435
Point yangu ni kwamba Yesu kahubiri amani ila hajafundisha na jinsi ya kuilinda hiyo amani,leo hii mfano hapa Tz tunaishi kwa amani mara magaidi wanavamia na kuanza kuuwa watu,je Yesu anafundisha tufanyaje hapo katika hali kama hiyo?Kuna secular laws na religion laws kiongozi tofautisha hivi vitu viwili.
Sheria za kidini (uislamu) zinahukumu kuponda mawe hadi kufa, kunyonga, kukata vichwa, kukata viganja n.k
Sheria zisizo zakidini yani hazifungamani na upande wowote, zipo kwa ajili ya mambo yasiyo ya kiimani huwezi kupeleka kesi inayohusu mambo ya kidini mahakamani (Hapa naomba nieleweke ni mambo yale tu yasiyolenga kuleta uvunjifu wa amani au chuki)
Mfano Sheikh au Mchungaji anamtuhumu muamini kuiba sadaka n.k
Mkuu unamnukuu vibaya Kristo Yesu, hamaanishi ugaidi uachwe watu wauwawe au wauwane n.k Yesu alileta injili na injili ni habari njema kwa wote asiyeamin ndiye atafanya huo upuuzi Mkristo yeyote aliyebatizwa ana huruma na ana upendo kwa kuwa ndiyo amri yetu kuu.
Biblia inatuambia watu wanaangamia kwa kukosa maarifa, jitahidi kuyasoma maandiko unayoyasikia vyema na jaribu kuunganisha verses mbalimbali