Nguvu ya ushoga Israel: Baada ya Meya, sasa Waziri shoga maarufu ateuliwa

kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2009
Messages
17,401
Points
2,000
kahtaan

kahtaan

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2009
17,401 2,000
Vipi kuhusu imamu shoga wa Kule Iran? Iran mashoga Ni wakutosha tu ipo siku nitawamimina hapa jamvini
Kuropoka hapa JF ni Bure. Ndio maana wewe unaropoka ovyo.

L uzi unamuongelea WAZIRI SHOGA kutoka ISRAEL .
Sasa kama kuna WAZIRI SHOGA kutoka Iran au Popote Duniani anzisha uzi wako tuchangie. Sio kudai ipo siku utamimina!
Umimine nini uharo au?
Bata mzinga .
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
581
Points
500
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
581 500
Nitajie mikoa mitano inayoogoza kwa ushoga hapa bongo..... Wewe mwarabu utaumia saaaaana coz huku zenji toto la kiume linachungwa kuliko la kike Hahahahaha
 
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Messages
564
Points
500
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2018
564 500
Kuna Uzi uliletwa umu Israel ndo inaongoza kwa ushoga Duniani.Muutafute mtaupata na evidences kibao.
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,147
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,147 2,000
Vipi kuhusu imamu shoga wa Kule Iran? Iran mashoga Ni wakutosha tu ipo siku nitawamimina hapa jamvini
Mswahili atabakia kuwa mswahili tu. Unaongea usichokijua. Haya wamimine tuwaone!
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,147
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,147 2,000
kuna uzi unazungumzia ushoga huko zanzibar mnaacha kuujadili mnakimbilia Israel watu ambao tuko nao mbali sana
Mahaba yamewazidi enyi wagalatia. Unaona fahari kumjadili ndugu yako mzanzibari ila israel asijadiliwe 😁😁😁 kwakuwa wazanzibar ni waislamu. Wakati ushoga umetapakaa kona zote za tanzania.
 
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
5,121
Points
2,000
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
5,121 2,000
Wewe kinachokuuma nini?
hili ndilo tatizo la waislamu mnataka watu wote wawe na imani kama yenu kitu ambacho daima hakitawezekana.

Israel sio religion state kama Saudia, Iran, Algeria n.k ni secular state ndio maana kuna amani
Ongea kitu unachokijua, usichokijua nyamaza tu.

Israel ni taifa la udini na wanatumia dini kudhulumu waliowakuta, na wanatumia dini kuhalalisha matendo yao.

Wewe kama haikuumi kumuona mwanaume mwenzako akitolewa marinda sishangai mana ndio imani yako ilivokufundisha labda kuona icho kitu ni sawa tu
 
R

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
5,084
Points
2,000
R

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
5,084 2,000
Mahaba yamewazidi enyi wagalatia. Unaona fahari kumjadili ndugu yako mzanzibari ila israel asijadiliwe 😁😁😁 kwakuwa wazanzibar ni waislamu. Wakati ushoga umetapakaa kona zote za tanzania.
Wewe ndio umezidiwa mahaba watanzania ushoga sio utamaduni wetu lakini tunaacha tatizo lililoko kwetu tunakimbilia kujadili tatizo la watu wengine Sasa happy nani ana mahaba wewe au Mimi
 
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Messages
564
Points
500
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2018
564 500
Wewe ndio umezidiwa mahaba watanzania ushoga sio utamaduni wetu lakini tunaacha tatizo lililoko kwetu tunakimbilia kujadili tatizo la watu wengine Sasa happy nani ana mahaba wewe au Mimi
happy-furaha
Kwaio unafurahia ushoga kwenye taifa la MUNGU.?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Ongea kitu unachokijua, usichokijua nyamaza tu.

Israel ni taifa la udini na wanatumia dini kudhulumu waliowakuta, na wanatumia dini kuhalalisha matendo yao.

Wewe kama haikuumi kumuona mwanaume mwenzako akitolewa marinda sishangai mana ndio imani yako ilivokufundisha labda kuona icho kitu ni sawa tu
Hakuna andiko katika Bible zote Agano la kale na jipya linalohalalisha ushoga HAKUNA.

umeniambia kama kuna vitu sivijui ni bora nikanyamaza hivi Israel ni religion state? Itatumia sheria gani za kidini kwa sababu uyahudi na Ukristo hauna Torati tena!

kuna kiongozi wa upinzani ambaye ana mpango wa kumtoa Netanyahu ndiye ana mpango wa kuifanya Israel kuwa nchi ya kidini (Kiyahudi)

sasa jiulize ikianza kuongozwa kiyahudi kuna muislamu atapona ndani ya Israel, na Palestine? Siku nyingine usidhani watu wote wana uelewa kama wako!

Wewe hukazi videm vya mtaani uko bila ndoa? Ungekuwa Saudia, Iran n.k ungefanya hicho kitu? Hayo ni mambo binafsi ya mtu akiwa shoga ni yeye akiwa malaya ni yeye Tanzania tuna haki ya faragha.

huwezi kusikia hata siku moja mtu aliyeliwa na aliyemla mwenzake kinyume cha maumbile kahukumiwa ikiwa tu tendo lile walilifanya katika faragha
 
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
5,121
Points
2,000
C

chilubi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
5,121 2,000
Hakuna andiko katika Bible zote Agano la kale na jipya linalohalalisha ushoga HAKUNA.

umeniambia kama kuna vitu sivijui ni bora nikanyamaza hivi Israel ni religion state? Itatumia sheria gani za kidini kwa sababu uyahudi na Ukristo hauna Torati tena!
Sasa kwani nchi ulizozitaja wewe zinatumia sheria za kidini ata useme ni religious state?

kuna kiongozi wa upinzani ambaye ana mpango wa kumtoa Netanyahu ndiye ana mpango wa kuifanya Israel kuwa nchi ya kidini (Kiyahudi)

sasa jiulize ikianza kuongozwa kiyahudi kuna muislamu atapona ndani ya Israel, na Palestine? Siku nyingine usidhani watu wote wana uelewa kama wako!
Kweli hatuwezi kuwa na uelewa sawa, na suala lako la kuwa kama muislam atapona, hilo lisikushulishe, sisi ukitupiga tunakupiga. Hilo swali ujiulize wewe mkristo unaegeuza shavu la kushota, utabaki ndani ya jewish state? watu waliomsulubu na kumkataa yesu!

Wewe hukazi videm vya mtaani uko bila ndoa? Ungekuwa Saudia, Iran n.k ungefanya hicho kitu? Hayo ni mambo binafsi ya mtu akiwa shoga ni yeye akiwa malaya ni yeye Tanzania tuna haki ya faragha.
mimi sikazi videm vya mtaani. Sasa wewe unaejisifia uzinzi pole sana. Taifa la mungu haliwezi kuhalalisha ushoga na wewe ukakaa ukaona ni sawa eti haki ya faragha. Wewe mwanao wa kiume akipumuliwa unaona ni sawa? utaachia tu na kusema ni uamuzi wake binafsi? Tuambizane kama wewe ni miongoni mwa walioharibiwa kanisani! maana Mwanaume wa kweli hawezi kabisa kusema huo ni uamuzi wa binafsi bali anatakiwa akemee.

Itatumia sheria gani za kidini kwa sababu uyahudi na Ukristo hauna Torati tena!
hii inafikirisha. Torati ameshusha Mungu, sasa hivi unakiri kuwa uyahudi na ukiristo hauna maneno ya Mungu! :D

Ule mjadala wa kule umesepa baada ya kukuletea aya kutoka kwa yesu!
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
7,635
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
7,635 2,000
Ni taifa teule of course halina ubishi.
Alafu wakristo hatukalilishwi tunaelewa, Qur'an ndiyo inakalilishwa kwa sababu ya lugha
Sio "Kalilishwa" sahihi ni "Karirishwa".

Mngekuwa hamkaririshwi mngejua tofauti kati ya maneno ya Yesu na asie kuwa Yesu.
 
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,790
Points
2,000
Tz mbongo

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,790 2,000
Jesus christ! toka lini Mungu muumba wa mbingu na ardhi akasaidiwa kuhukumu na kiumbe chake?
kwa sisi Wakristo Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuhukumu yani mimi Drip sitakiwi kuthubutu hata kukwambia wewe una dhambi ni kosa kubwa sana kuhukumu.
Binadamu yeyote anafanya makosa hili Kristo Yesu alilijua ndio maana akatuagiza tutendapo dhambi basi tutazame msalaba au tuganye sala ya toba nasi tutakuwa tumefungamanishwa nae kwa kuwa Mwili wa Kristo ni Kanisa.
Unaweza Kunielezea majukumu ya Mungu huko akhera (peponi) kwa mujibu wa imani yenu ni yapi sasa kwa sababu mnahukumu hukuhuku duniani yeye kazi yake hasa ni nini?
Huwa mnaongea mambo yasiyo na uhalisia,kama kweli tutaishi kwa kufuata biblia kama mnazosema basi tutaishi maisha ya ajabu sana maana watu hatukuwa na majeshi ya kujilinda wala sheria zozote hivyo watu watadhulumiwa haki zao na hakuna wa kuwasaidia.
 
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Messages
564
Points
500
University_Promo

University_Promo

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2018
564 500
Wewe unaweza kuingilia au ukapinga sheria kandamizi za taifa huru kama Saudia?
Kwaio upo sawa na Israel maana unawatetea sana.Mwisraeli mweusi mtanzania Siyo kwa kuwatetea uko inabidi ukemee umesikia wewe Mwisraeli Mweusi Mtanzania.?
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Huwa mnaongea mambo yasiyo na uhalisia,kama kweli tutaishi kwa kufuata biblia kama mnazosema basi tutaishi maisha ya ajabu sana maana watu hatukuwa na majeshi ya kujilinda wala sheria zozote hivyo watu watadhulumiwa haki zao na hakuna wa kuwasaidia.
Huijui Biblia ni bora unyamaze.
Unajua kuwa Torati haifanyi tena kazi?
Unafahamu Yesu alikuja kufanya nini duniani?

Unafahamu Yesu alikuja kwa ajili ya wasio amini?
Unafahamu Bible haisomwi bila kuunganisha dots?
Hahahaha my friend ni bora ukae kimya
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,251
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,251 2,000
Sio "Kalilishwa" sahihi ni "Karirishwa".

Mngekuwa hamkaririshwi mngejua tofauti kati ya maneno ya Yesu na asie kuwa Yesu.
Niwie radhi kwa kukosea uandishi wa neno " Kariri".

Maneno halisi ya Yesu ni yapi na yanapatikana wapi?
 
guzman_

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Messages
932
Points
1,000
guzman_

guzman_

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2016
932 1,000
Wayahudi si ndo mnasema Taifa la Mungu
 
Forum statistics

Threads 1,315,672
Members 505,292
Posts 31,866,345
Top