Nguvu ya Umma is synonymous to mob justice, ipigwe vita Haraka sana.

Dokt slaa alisema "hii nchi haitatawalika tena" sasahivi anapita mikoani kuhubiri nguvu ya umma na kusema police ni wa ccm na wananchi wanamsikia sumu zake haya ndio matokeo yake.

umeharibu mantiki nzima ya thread yako, ningekuona WA maana kama usingeandika huu upuuzi Wako. Una uhakika wakati anauwawa ni Chadema walihusika? Ungeelezea event as event ingekuwa ya maana sana....
 
Jaribu na wewe.co habari za vyama hzo ni vurugu so kuwa makini unavyopopost maana ndo mwanzo wa kutukanwa alafu mnaanza kulalamika.kaua nae kauwawa.auae kwa upanga nae atauwawa kwa upanga.r.i.p mwananchi.me c hukumu hapa ndo hali halisi.
 
umeandika vizuri sana lakini umekuja kuharibu ulipoingiza cdm kwenye andiko lako , cdm hawajawahi na wala siyo lengo lao kuhamasisha mauaji , hata wewe unajua , bali kilichomsibu Mabina ni dhuluma , rejea kauli ya kapuya kwenye sakata lake ! Labda nikupe angalizo tu kwamba hiyo lugha yao ' SISI NDIYO WENYE NCHI ' itawateketeza wengi sana .
 
sixgates,

Nakubaliana na wewe kuwa kitendo cha kujichukulia sheria kwa kinachotafsiriwa kama "wananchi wenye hasira kali" si kuwa ni kinyume cha utawala wa sheria bali pia kinakiuka misingi ya utu.

Lakini kuna swali la msingi la kujiuliza kwa mpenda haki yeyote, nini kimepelekea wananchi kujichukulia hatua mkononi?

Nimesema hapo juu kuwa wananchi hawaoni kama haki zinatolewa kwa haki. Mfumo wa mahakama ni dhaifu, haki hazionekani zikitolewa.
 
Last edited by a moderator:
Sixgates, hakuna mtu anayefurahia kuuwawa kwa Clement. Kinachofanyika ni watu wanatumia kama analogue kuelezea hisia/maoni ktk mambo mengine ya kijamii.

You are too hastily, very hilarious to start threads.
 
Mkuu yalizungumzwa na wengine, na niliona hapa wakilaani, kurudia ni kujaza server tu. Ndio maana nyuzi zinazofanana huunganishwa. Ila hata wewe unaweza ukaanzisha thread ya kulaani bomu la arusha, leo laana yangu ni kwa ajili ya wananchi wa kisesa

Inauma sana lakini PM kasema wapigwe tu. Ndiyo matunda yake. Ni machungu lakini!
 
Leo mchana tumepokea shocking news kuwa aliyekuwa cadre na ccm chairperson kwa mkoa wa mwanza ndg Mabina Vicent amepijwa mawe mpaka kufa kutokana na land conflicts. (Hii taarifa ipo sitaizungumzia sana naomba nizungumzia tabia ya kujichukulia sheria mikononi in the name of nguvu ya umma/mob justice)

Kwanza nianze kwa kusema nalaani mauaji ya Mabina yaliyotekelezwa na wananchi wa kisesa mwanza, naomba niwakumbushe kuwa hakuna mtu mwenye haki ya kuhukumu mtu nje ya mfumo tuliojiwekea,ambapo hukumu hutolewa na mahakama.

Nakemea kwa sababu Mob Justice ni tabia ambayo inakuwa kwa kasi, pengine is due to weakness in Judicial System which does not work properly and people continue to organize their trial and judge their suspect on street kwa kuwaumiza au kuwauwa kama ilivyotokea leo mwanza. Hii tabia inahitaji immediate attention kuhakikisha maisha ya watu wenye/wasio na hatia hayaendelei kupotea mikononi mwa wanaojiita "wananchi wenye hasira kali"

I would like also to remind political party's leaders especially hawa wa chadema ambao at some point ni catalyst katika kuvuruga mfumo tuliojiwekea wa "utawala wa sheria" kuwa there is no one who is above the law lakini wao wamekuwa wakitembea in up countries preaching the so called "nguvu ya umma" which means "wananchi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika taifa" but its very unfortunately kwa kutokusudia,au kwa kukusudia watu kwanzia level za chini hawaambiliki, wanagoma, wamefundishwa na chadema kuwa police hawafanyi kazi kwa ajili ya wananchi wote bali ni "PoLice CCM" refer Dr slaa na baadhi ya makada wa chadema". Dhana ya nguvu ya umma imekuwa mob justice ndio maana hata hapa JF, mashabiki na makada wa chadema wamefurahishwa na mauaji ya ndugu Mabina.

Naendelea kulaani, watu, vikundi ambavyo badala ya kupinga tabia ya wananchi kujichukulia sheria mikononi wanaunga mkono na kuiita hiyo ndiyo nguvu ya umma.

Wito wangu kwa jeshi la police ni kufanya kazi kwa umakini bila upendeleo, na ihakikishe watu wote waliohusika katika tukio la leo wanakamatwa na wanapelekwa mbele ya vyombo vya sheria.

Mob justice ni jambo la hatari,linashababisha vurugu,mauaji linahitaji ufumbuzi wa haraka sana.

Sixgates
Dsm
una habari yeye alikuwa wa kwanza kujichukulia sheria pale alipomfyaturia risasi raia na kumuua, pia kumbuka historia ya viongozi wetu wanapojichukulia sheria mikononi hawawajibishwi kwa mjibu wa sheria mfano DITOPILE MZUZURI ilikuwaje, siungi mkono mauaji hayo kwa mkuu wa mkoa ila ukweli ni kwamba wananchi wamechoshwa na unyanyasaji unaofanywa na wakubwa
 
Nimesema hapo juu kuwa wananchi hawaoni kama haki zinatolewa kwa haki. Mfumo wa mahakama ni dhaifu, haki hazionekani zikitolewa.

sasa kumbe unajua source, Chadema waliingiaje? Una visa wewe
 
Nafasi za kisiasa zitokanazo na umwagikaji damu ni laana.

hahahaaaaaa Arusha, Tabora, Dar na kwingineko mliuwa sana, nashukuru kwa ku-admit hili kuwa viongozi wengi WA CCM wananuka damu. Umesoma historia ya Mabila kwenye ile thread kuwa alikuwa jambazi? Sio maneno yangu hayo
 
Dokt slaa alisema "hii nchi haitatawalika tena" sasahivi anapita mikoani kuhubiri nguvu ya umma na kusema police ni wa ccm na wananchi wanamsikia sumu zake haya ndio matokeo yake.

umepotea njia sasa, hukumbuki kuwa marehemu kauwa kwanza kabla ya kuuawa, je na yeye ametumwa na CDM ?
 
Leo mchana tumepokea shocking news kuwa aliyekuwa cadre na ccm chairperson kwa mkoa wa mwanza ndg Mabina Clement amepijwa mawe mpaka kufa kutokana na land conflicts. (Hii taarifa ipo sitaizungumzia sana naomba nizungumzia tabia ya kujichukulia sheria mikononi in the name of nguvu ya umma/mob justice)

Kwanza nianze kwa kusema nalaani mauaji ya Mabina yaliyotekelezwa na wananchi wa kisesa mwanza, naomba niwakumbushe kuwa hakuna mtu mwenye haki ya kuhukumu mtu nje ya mfumo tuliojiwekea,ambapo hukumu hutolewa na mahakama.

Nakemea kwa sababu Mob Justice ni tabia ambayo inakuwa kwa kasi, pengine is due to weakness in Judicial System which does not work properly and people continue to organize their trial and judge their suspect on street kwa kuwaumiza au kuwauwa kama ilivyotokea leo mwanza. Hii tabia inahitaji immediate attention kuhakikisha maisha ya watu wenye/wasio na hatia hayaendelei kupotea mikononi mwa wanaojiita "wananchi wenye hasira kali"

I would like also to remind political party's leaders especially hawa wa chadema ambao at some point ni catalyst katika kuvuruga mfumo tuliojiwekea wa "utawala wa sheria" kuwa there is no one who is above the law lakini wao wamekuwa wakitembea in up countries preaching the so called "nguvu ya umma" which means "wananchi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika taifa" but its very unfortunately kwa kutokusudia,au kwa kukusudia watu kwanzia level za chini hawaambiliki, wanagoma, wamefundishwa na chadema kuwa police hawafanyi kazi kwa ajili ya wananchi wote bali ni "PoLice CCM" refer Dr slaa na baadhi ya makada wa chadema". Dhana ya nguvu ya umma imekuwa mob justice ndio maana hata hapa JF, mashabiki na makada wa chadema wamefurahishwa na mauaji ya ndugu Mabina.

Naendelea kulaani, watu, vikundi ambavyo badala ya kupinga tabia ya wananchi kujichukulia sheria mikononi wanaunga mkono na kuiita hiyo ndiyo nguvu ya umma.

Wito wangu kwa jeshi la police ni kufanya kazi kwa umakini bila upendeleo, na ihakikishe watu wote waliohusika katika tukio la leo wanakamatwa na wanapelekwa mbele ya vyombo vya sheria.

Mob justice ni jambo la hatari,linashababisha vurugu,mauaji linahitaji ufumbuzi wa haraka sana.

Sixgates
Dsm

Hizi ajira za njaa kwamba kila siku ni lazima uonekane umeandika kitu ni mbaya sana!

Embu jaribu KU-RELATE KICHWA CHA UZI NA TUKIO LA MABINA. Two different things.

Kuna uzi uliwekwa humu uki-analyse uelewa wa watu aina yako Conclusion of which was pathetic!
 
Mkuu sixgates tangu umehama CDM..umekuwa tofauti sana..Na sishangai maana ndiyo siasa zao zilivyo..Za ushabiki..

Ila tegemea makubwa kuliko haya kama viongozi wataendeleza ubabe kwa wananchi..

CCM wamefanya Hali ya maisha kuwa ngumu bado na manyanyaso,Ukihoji unapigwa risasi..Wakienda mahakamani kesi zinaishia hewani..Unategemea nini??

Wapigweee..Tumechoka..aaah
 
Last edited by a moderator:
Actually hata mimi siungi mkono swala la kujichukulia sheria mikononi but l think they do have reasons ya kufanya hivyo. Sababu kubwa ni kukosa JUSTICE IN OUR COUNTRY. Therefore, nadhani ili haya mambo yasiendelee kutendeka, inapaswa SHERIA IFUATWE BILA KUJALI SURA YA MTU WALA CHEO CHAKE and everything will be fine.
 
Back
Top Bottom