Nguvu ya Umma is synonymous to mob justice, ipigwe vita Haraka sana.

sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
Leo mchana tumepokea shocking news kuwa aliyekuwa cadre na ccm chairperson kwa mkoa wa mwanza ndg Mabina Clement amepijwa mawe mpaka kufa kutokana na land conflicts. (Hii taarifa ipo sitaizungumzia sana naomba nizungumzia tabia ya kujichukulia sheria mikononi in the name of nguvu ya umma/mob justice)

Kwanza nianze kwa kusema nalaani mauaji ya Mabina yaliyotekelezwa na wananchi wa kisesa mwanza, naomba niwakumbushe kuwa hakuna mtu mwenye haki ya kuhukumu mtu nje ya mfumo tuliojiwekea,ambapo hukumu hutolewa na mahakama.

Nakemea kwa sababu Mob Justice ni tabia ambayo inakuwa kwa kasi, pengine is due to weakness in Judicial System which does not work properly and people continue to organize their trial and judge their suspect on street kwa kuwaumiza au kuwauwa kama ilivyotokea leo mwanza. Hii tabia inahitaji immediate attention kuhakikisha maisha ya watu wenye/wasio na hatia hayaendelei kupotea mikononi mwa wanaojiita "wananchi wenye hasira kali"

I would like also to remind political party's leaders especially hawa wa chadema ambao at some point ni catalyst katika kuvuruga mfumo tuliojiwekea wa "utawala wa sheria" kuwa there is no one who is above the law lakini wao wamekuwa wakitembea in up countries preaching the so called "nguvu ya umma" which means "wananchi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika taifa" but its very unfortunately kwa kutokusudia,au kwa kukusudia watu kwanzia level za chini hawaambiliki, wanagoma, wamefundishwa na chadema kuwa police hawafanyi kazi kwa ajili ya wananchi wote bali ni "PoLice CCM" refer Dr slaa na baadhi ya makada wa chadema". Dhana ya nguvu ya umma imekuwa mob justice ndio maana hata hapa JF, mashabiki na makada wa chadema wamefurahishwa na mauaji ya ndugu Mabina.

Naendelea kulaani, watu, vikundi ambavyo badala ya kupinga tabia ya wananchi kujichukulia sheria mikononi wanaunga mkono na kuiita hiyo ndiyo nguvu ya umma.

Wito wangu kwa jeshi la police ni kufanya kazi kwa umakini bila upendeleo, na ihakikishe watu wote waliohusika katika tukio la leo wanakamatwa na wanapelekwa mbele ya vyombo vya sheria.

Mob justice ni jambo la hatari,linashababisha vurugu,mauaji linahitaji ufumbuzi wa haraka sana.

Sixgates
Dsm
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,733
2,000
wewe buku saba wa lumumba haya umeyajua leo??

siku zote sisi wazalendo tumekuwa tunapigania utawala wa sheria.

wewe na vibaraka wenzako mmekuwa ni kikwazo sasa yamewakuta mnalalama nini??

kwani mbona matukio mengi ya mob justice yanatokea serikali yako silivu iko kimya??

mbona sijakusikia ukilaani wahusika waliorusha bomu liloua watu mkutano wa CDM arusha
??
Leo mchana tumepokea shocking news kuwa aliyekuwa cadre na ccm chairperson kwa mkoa wa mwanza ndg Mabina Vicent amepijwa mawe mpaka kufa kutokana na land conflicts. (Hii taarifa ipo sitaizungumzia sana naomba nizungumzia tabia ya kujichukulia sheria mikononi in the name of nguvu ya umma/mob justice)

Kwanza nianze kwa kusema nalaani mauaji ya Mabina yaliyotekelezwa na wananchi wa kisesa mwanza, naomba niwakumbushe kuwa hakuna mtu mwenye haki ya kuhukumu mtu nje ya mfumo tuliojiwekea,ambapo hukumu hutolewa na mahakama.

Nakemea kwa sababu Mob Justice ni tabia ambayo inakuwa kwa kasi, pengine is due to weakness in Judicial System which does not work properly and people continue to organize their trial and judge their suspect on street kwa kuwaumiza au kuwauwa kama ilivyotokea leo mwanza. Hii tabia inahitaji immediate attention kuhakikisha maisha ya watu wenye/wasio na hatia hayaendelei kupotea mikononi mwa wanaojiita "wananchi wenye hasira kali"

I would like also to remind political party's leaders especially hawa wa chadema ambao at some point ni catalyst katika kuvuruga mfumo tuliojiwekea wa "utawala wa sheria" kuwa there is no one who is above the law lakini wao wamekuwa wakitembea in up countries preaching the so called "nguvu ya umma" which means "wananchi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika taifa" but its very unfortunately kwa kutokusudia,au kwa kukusudia watu kwanzia level za chini hawaambiliki, wanagoma, wamefundishwa na chadema kuwa police hawafanyi kazi kwa ajili ya wananchi wote bali ni "PoLice CCM" refer Dr slaa na baadhi ya makada wa chadema". Dhana ya nguvu ya umma imekuwa mob justice ndio maana hata hapa JF, mashabiki na makada wa chadema wamefurahishwa na mauaji ya ndugu Mabina.

Naendelea kulaani, watu, vikundi ambavyo badala ya kupinga tabia ya wananchi kujichukulia sheria mikononi wanaunga mkono na kuiita hiyo ndiyo nguvu ya umma.

Wito wangu kwa jeshi la police ni kufanya kazi kwa umakini bila upendeleo, na ihakikishe watu wote waliohusika katika tukio la leo wanakamatwa na wanapelekwa mbele ya vyombo vya sheria.

Mob justice ni jambo la hatari,linashababisha vurugu,mauaji linahitaji ufumbuzi wa haraka sana.

Sixgates
Dsm
 
Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
1,195
You are dreaming, Usipoitaja Chadema haupati usingizi.

Wananchi wamechoka na polisi ccm.
 
Mzawa Halisi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
635
500
sixgates,

Nakubaliana na wewe kuwa kitendo cha kujichukulia sheria kwa kinachotafsiriwa kama "wananchi wenye hasira kali" si kuwa ni kinyume cha utawala wa sheria bali pia kinakiuka misingi ya utu.

Lakini kuna swali la msingi la kujiuliza kwa mpenda haki yeyote, nini kimepelekea wananchi kujichukulia hatua mkononi?
 
Last edited by a moderator:

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,586
2,000
unajua maana ya mob justice we paka! ni hukumu itolewayo na umati ambao umeshudia kosa likitendwa na mkosaji mbele ya macho yao.

hukumu hii katika jamii iliyostaarabika ni miongoni mwa hukumu zisizo na utata, labda kwenu nyinyi maccm,

mkipelekwa mahakamani si mnaachiwa!!! sasa tutawatoa filigisi.
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
3,096
2,000
Viongozi wetu,askari wamejaa rushwa so wahalifu wanatamba kweupe.marehemu huenda alikuwa anautumia uccm wake kukandamiza raia.So uwenda watu wamemchoka wakaamus kumshughulikia
 
sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
mbona sijakusikia ukilaani wahusika waliorusha bomu liloua watu mkutano wa CDM arusha
??

Mkuu yalizungumzwa na wengine, na niliona hapa wakilaani, kurudia ni kujaza server tu. Ndio maana nyuzi zinazofanana huunganishwa. Ila hata wewe unaweza ukaanzisha thread ya kulaani bomu la arusha, leo laana yangu ni kwa ajili ya wananchi wa kisesa
 
Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
36,361
2,000
Mbona yeye kaua mtu na Bastola....

Huenda kama asingekuwa na hiyo bastola na kuanza kurushia wananchi risasi hovyo yote hayo yasinge mpata.......Rest in Hell Diwani...Pathetic fool.....Sijui kwanini nimejisumbua kuandika kwenye uzi wa fool kama wewe...
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
45,507
2,000
wapigwe tu maana sasa tumechoka, na mimi nasema wapigeni tu......MADHARA YA KUROPOKA NDIO HAYO. Unadhani nani atakubali kupigwa kwa idhini ya Waziri Mkuuu? I assure you, this is just a beginning mengi yatafuata. You don't need kuwa mtabiri kuyaona haya. Watu wamechoka
 
Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
36,361
2,000
sixgates,

Nakubaliana na wewe kuwa kitendo cha kujichukulia sheria kwa kinachotafsiriwa kama "wananchi wenye hasira kali" si kuwa ni kinyume cha utawala wa sheria bali pia kinakiuka misingi ya utu.

Lakini kuna swali la msingi la kujiuliza kwa mpenda haki yeyote, nini kimepelekea wananchi kujichukulia hatua mkononi?

Kumbuka huyo Diwani baada ya kufyatulia watu risasi na hatimaye kuua ndipo hasira zikwawaka wananchi, nayeye akapata haki yake...

Rest in Hell Diwani..
 
Last edited by a moderator:

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,890
2,000
Leo mchana tumepokea shocking news kuwa aliyekuwa cadre na ccm chairperson kwa mkoa wa mwanza ndg Mabina Vicent amepijwa mawe mpaka kufa kutokana na land conflicts. (Hii taarifa ipo sitaizungumzia sana naomba nizungumzia tabia ya kujichukulia sheria mikononi in the name of nguvu ya umma/mob justice)

Kwanza nianze kwa kusema nalaani mauaji ya Mabina yaliyotekelezwa na wananchi wa kisesa mwanza, naomba niwakumbushe kuwa hakuna mtu mwenye haki ya kuhukumu mtu nje ya mfumo tuliojiwekea,ambapo hukumu hutolewa na mahakama.

Nakemea kwa sababu Mob Justice ni tabia ambayo inakuwa kwa kasi, pengine is due to weakness in Judicial System which does not work properly and people continue to organize their trial and judge their suspect on street kwa kuwaumiza au kuwauwa kama ilivyotokea leo mwanza. Hii tabia inahitaji immediate attention kuhakikisha maisha ya watu wenye/wasio na hatia hayaendelei kupotea mikononi mwa wanaojiita "wananchi wenye hasira kali"

I would like also to remind political party's leaders especially hawa wa chadema ambao at some point ni catalyst katika kuvuruga mfumo tuliojiwekea wa "utawala wa sheria" kuwa there is no one who is above the law lakini wao wamekuwa wakitembea in up countries preaching the so called "nguvu ya umma" which means "wananchi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika taifa" but its very unfortunately kwa kutokusudia,au kwa kukusudia watu kwanzia level za chini hawaambiliki, wanagoma, wamefundishwa na chadema kuwa police hawafanyi kazi kwa ajili ya wananchi wote bali ni "PoLice CCM" refer Dr slaa na baadhi ya makada wa chadema". Dhana ya nguvu ya umma imekuwa mob justice ndio maana hata hapa JF, mashabiki na makada wa chadema wamefurahishwa na mauaji ya ndugu Mabina.

Naendelea kulaani, watu, vikundi ambavyo badala ya kupinga tabia ya wananchi kujichukulia sheria mikononi wanaunga mkono na kuiita hiyo ndiyo nguvu ya umma.

Wito wangu kwa jeshi la police ni kufanya kazi kwa umakini bila upendeleo, na ihakikishe watu wote waliohusika katika tukio la leo wanakamatwa na wanapelekwa mbele ya vyombo vya sheria.

Mob justice ni jambo la hatari,linashababisha vurugu,mauaji linahitaji ufumbuzi wa haraka sana.

Sixgates
Dsm

Lini umeguka kuwa kamusi (dictionary)?

Haya basi endelea kutupa na maana ya maneno mengine maana akili zako na hisia zako ndio kanuni zinazotawala dunia.

Angalizo: Kuna watu huugua ugonjwa fulani unaowafanya waamini na kujiona wao ni miungu.
 
  • Thanks
Reactions: DSN

Mapolomoko

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
1,751
0
Magamba wapigwe tu, tumechoka NGUVU YA UMA. na mtakoma mpaka 2015 mtakuwa mumenyooka. manina zenu
 
sixgates

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
3,979
2,000
You are dreaming, Usipoitaja Chadema haupati usingizi.

Wananchi wamechoka na polisi ccm.

Dokt slaa alisema "hii nchi haitatawalika tena" sasahivi anapita mikoani kuhubiri nguvu ya umma na kusema police ni wa ccm na wananchi wanamsikia sumu zake haya ndio matokeo yake.
 
Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
36,361
2,000
Mkuu yalizungumzwa na wengine, na niliona hapa wakilaani, kurudia ni kujaza server tu. Ndio maana nyuzi zinazofanana huunganishwa. Ila hata wewe unaweza ukaanzisha thread ya kulaani bomu la arusha, leo laana yangu ni kwa ajili ya wananchi wa kisesa

Tatizo bia za kuhongwa zinakuzuzua zuzu wewe....
 
Sangari

Senior Member
Oct 31, 2011
172
195
Leo mchana tumepokea shocking news kuwa aliyekuwa cadre na ccm chairperson kwa mkoa wa mwanza ndg Mabina Vicent amepijwa mawe mpaka kufa kutokana na land conflicts. (Hii taarifa ipo sitaizungumzia sana naomba nizungumzia tabia ya kujichukulia sheria mikononi in the name of nguvu ya umma/mob justice)

Kwanza nianze kwa kusema nalaani mauaji ya Mabina yaliyotekelezwa na wananchi wa kisesa mwanza, naomba niwakumbushe kuwa hakuna mtu mwenye haki ya kuhukumu mtu nje ya mfumo tuliojiwekea,ambapo hukumu hutolewa na mahakama.

Nakemea kwa sababu Mob Justice ni tabia ambayo inakuwa kwa kasi, pengine is due to weakness in Judicial System which does not work properly and people continue to organize their trial and judge their suspect on street kwa kuwaumiza au kuwauwa kama ilivyotokea leo mwanza. Hii tabia inahitaji immediate attention kuhakikisha maisha ya watu wenye/wasio na hatia hayaendelei kupotea mikononi mwa wanaojiita "wananchi wenye hasira kali"

I would like also to remind political party's leaders especially hawa wa chadema ambao at some point ni catalyst katika kuvuruga mfumo tuliojiwekea wa "utawala wa sheria" kuwa there is no one who is above the law lakini wao wamekuwa wakitembea in up countries preaching the so called "nguvu ya umma" which means "wananchi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika taifa" but its very unfortunately kwa kutokusudia,au kwa kukusudia watu kwanzia level za chini hawaambiliki, wanagoma, wamefundishwa na chadema kuwa police hawafanyi kazi kwa ajili ya wananchi wote bali ni "PoLice CCM" refer Dr slaa na baadhi ya makada wa chadema". Dhana ya nguvu ya umma imekuwa mob justice ndio maana hata hapa JF, mashabiki na makada wa chadema wamefurahishwa na mauaji ya ndugu Mabina.

Naendelea kulaani, watu, vikundi ambavyo badala ya kupinga tabia ya wananchi kujichukulia sheria mikononi wanaunga mkono na kuiita hiyo ndiyo nguvu ya umma.

Wito wangu kwa jeshi la police ni kufanya kazi kwa umakini bila upendeleo, na ihakikishe watu wote waliohusika katika tukio la leo wanakamatwa na wanapelekwa mbele ya vyombo vya sheria.

Mob justice ni jambo la hatari,linashababisha vurugu,mauaji linahitaji ufumbuzi wa haraka sana.

Sixgates
Dsm

Ulichoandika hapa ni sifuri kabisa. Unataka kusema Cdm ndo wamemuua Mabina? Mkiambiwa nyie ndo wachochezi wa udini na ukabila mnakataa!
 
Otorong'ong'o

JF-Expert Member
Aug 17, 2011
36,361
2,000
Dokt slaa alisema "hii nchi haitatawalika tena" sasahivi anapita mikoani kuhubiri nguvu ya umma na kusema police ni wa ccm na wananchi wanamsikia sumu zake haya ndio matokeo yake.

Nawewe kama umeiba mali ya umma jiandae....

Tutawapiga tuu maana tumechokaa!!!

Pathetic fool
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom