rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,441
Pale Arumeru Mashariki na Jimbo lililopo kushoto la Hai na Arusha Mjini kunamilikiwa na wanamageuzi ambao wanaitwa nguvu ya Umma nimemsikiliza Nassari ametumia Hekima ya kulazimishwa na kuogopa hivi kama akitukana kama Selasini wa Rombo atapita wapi na huko kwao, nguvu ya Umma ndio inamiliki.
Selasini ni mbunge wa Hovyo kabisa pamoja na uzee wake na kuwa na kaka ambaye anaeleweka bado amekosa hekima na busara za kuongea na kujitambua
Nassari umeondoka nenda salama umerudi CCM kulinda maslahi na biashara zako na hela waliyokupa watakulinda nayo lakini wewe ni msaliti na sio mwanamageuzi shupavu, umekubali kununuliwa na watu wajinga na CCM unatumika kama condom na kutupwa huko, kizazi hiki bado tunakazi kubwa ya kuacha kazi kwenye kizazi kijacho.