Nguvu ya Umma inamdhibiti Nassari

Nguvu ya Umma inamdhibiti Nassari

Demokrasia haiendi hivyo, alijua lengo lake lakini akajifanya anaonewa na watu wskajitokeza kumsaidia asionewe kumbe hola anawasanifu huku akiwatia hasara ya muda wao na pesa, mwanademokrasia wa kweli ni muungwana naye alitakiwa aseme ukweli wake.
Afrika wanasiasa wengi ni ma opportunist tu!! Wanajifanya wana umizwa na shida za wananchi kumbe wanalao!! KIZA BESIGYE, ndio mpinzani wa kweli afrika!!!
 
Siasa si ushabiki wa mpira kama Yanga na paka sorry simba, au kabila ambalo huwezi kulihama, waacheni wahame ndiyo demokrasia yenyewe
 
Hivi watu wote wanaohama vyama vyao ni wasaliti eeh?? Ngoja basi niwataje kwa uchache. Lazaro Nyalandu, Bernard Membe, Edward Lowassa, Fredrick Sumaye, Makongoro Mahanga (R.I.P)
Membe hajahama kafukuzwa
 
Mkuu hawa ndo kundi la vijana wa kitanzania tulilonalo mtaani huku, wanafiki wanafiki na kujipendekeza kwa sana.
 
Wanaccm ukiondoa matumbo yao wote watakuja CHADEMA.
Wivu tu na roho mbaya vinakusumbua.
Ndio demokrasia yenyewe huwezi mlazimisha mtu abaki chama ambacho hataki.....
Ulitaka familia take waishi Kama mashetani?
Hivi watu wote wanaohama vyama vyao ni wasaliti eeh?? Ngoja basi niwataje kwa uchache. Lazaro Nyalandu, Bernard Membe, Edward Lowassa, Fredrick Sumaye, Makongoro Mahanga (R.I.P)
 
Back
Top Bottom