kiboksi manyoya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 377
- 311
Mtoa Mada ni wife material, kama hujaolewa ni pm tasavali!
Mbona unakuaga mchokozi wewe?Wewe Atoto toka lini ukawa na ushauri mwema kwa jamii?,wewe ni muharibifu na tena mgonga nyoka mzuri sana weye au unakataa?,na ukibisha mimi nitatoa ushahidi wa yote uliotendea wanaume plus picha kama ushahidi au unabisha?,acha zako bhana,wewe ni miongoni mwa wachuna ngozi na wanyonya damu bila huruma weye au unabisha?,usiache nikakuanika jukwaani na kufanya ukonde bureee,please kaa kimya kabisa,usinikumbushe machungu ulonifanyia weye ajuza,.,.,..,.nitaendelea wanajamii wakinitaka kufanya hivyo,na tena nitatoa ile siri siku ile liliposanuka na bwana wako mpaka ukachezea makofi kefule weye,au unabisha nitoe au nisitoe? eti Atoto kumbe jina lake ni kama jinamizi eboo?
Huwa nakupenda sana dada una busara sana nafatiliaga sana comment zako.. Mungu akubariki sana.Wanawake ni rahisi kuua hata kwa maneno...
Tuchunge midomo na matendo yetu haswa tunapopata wenza wapole. Tusiwafanye wakajuta kua nasi tuwe faraja yao kama ulivosema...
Mke ni utulivu wa mume,tusijitoe ufahamu
Usijitoe ufahamu[emoji85] [emoji85] [emoji85]Wanawake ni rahisi kuua hata kwa maneno...
Tuchunge midomo na matendo yetu haswa tunapopata wenza wapole. Tusiwafanye wakajuta kua nasi tuwe faraja yao kama ulivosema...
Mke ni utulivu wa mume,tusijitoe ufahamu
Wewe Atoto toka lini ukawa na ushauri mwema kwa jamii?,wewe ni muharibifu na tena mgonga nyoka mzuri sana weye au unakataa?,na ukibisha mimi nitatoa ushahidi wa yote uliotendea wanaume plus picha kama ushahidi au unabisha?,acha zako bhana,wewe ni miongoni mwa wachuna ngozi na wanyonya damu bila huruma weye au unabisha?,usiache nikakuanika jukwaani na kufanya ukonde bureee,please kaa kimya kabisa,usinikumbushe machungu ulonifanyia weye ajuza,.,.,..,.nitaendelea wanajamii wakinitaka kufanya hivyo,na tena nitatoa ile siri siku ile liliposanuka na bwana wako mpaka ukachezea makofi kefule weye,au unabisha nitoe au nisitoe? eti Atoto kumbe jina lake ni kama jinamizi eboo?
Ukiangalia trend sasa hivi wanaume kulalamika kuhusu wanawake imezidi sana, tunaweza sema ni legelege au hawajui nafasi zao, ila pia nafikiri wanawake kuna mahali tumelega sana.Inasikitisha sana na hii inatokana na mwanamke kuolewa kwasababu ya pesa au uwezo na vitu anavyomiliki mwanaume na sio mapenzi. Hii kitu ni mbaya sana inakuwaje mtu uliyempenda sana kateleza kdg tu unabadilika na wkt inatakiwa ushikamane nae kwa kumshauri kumuonyesha upendo na kumfariji pia. Ni kweli midomo chuchunge ni hatari inafanya wababa wanashinda bar kwasbb nyumbani hakuna amani mtu anajuta hata kwann alioa wapeni raha watoto wa wenzenu jmn mtu anakua km yuko kifungoni.. Na kwann uichukie familia iliyomlea mmeo mpk akafika hapo alipo bila wao ungemjua wanawake tuwe na upendo wa kweli nasi wakitu fulani ukipenda kitu siku hana lazima utamchukia mpende yeye km yeye nasi gari lake wala nyumba yake...
Maisha yanapanda na kushuka tuwe wavumilivu km mama zetu... Huwezi kula piza kila siku kuna siku utakula tembele shukuru Mungu.. Na baadhi ya wanawake tunawarudisha nyuma wanaume badala ufikilie mjinyime muwekeze ilibadae mfurahie matunda yenu pmj na watoto wenu busy kufanya maonyesho ambayo hayana hata msingi Baadhi wenye tabia izo mjitambue.
Ubarikiwe maradufu mkaka...Huwa nakupenda sana dada una busara sana nafatiliaga sana comment zako.. Mungu akubariki sana.
Ha haa nisijitoe ufahamu kweli mana ni majanga...Usijitoe ufahamu[emoji85] [emoji85] [emoji85]