Kuna mmoja humu alidai mkewe alitaka kukopa kikoba, akamuuliza kiasi gani, akataja kiasi, then mume akampa kiasi kikubwa zaidi, baada ya muda pesa imeisha na kilichofanyika hakuna, akawa anataka tena kukopa kwenye kikoba ikabidi amuache tu.Ilani' ukianza kumruhusu mkeo mara vikoba mara vikundi vya kina mama kitchen party ujue unatengeneza bomu siku moja litakulipukia mwenyewe! Ila naongelea wale wepesi wa kushawishiwa ambao ndio wengi!
Huyu yuko vizuri mbona mkuu, sema anaamuaga tu kusherehesha jukwaaDah yaani siku nikiona mwanamke wangu kaandika haya maneno na akayaishi hakika nitaamini mimi ni Mwanaume niliyebarikiwa kuliko wanaume wote hapa duniani.
Duh kumbe wewe huwa unajitoaga tu ufahamu ila una akili, hekima na busara hivi.
Angekutana na mura huyu, hii habari ingegeuka.Pole kwa wafiwa, bidada kakosa mume na maji ya moto. Lakini sisi nasi tukiamua kuwa midomo chuchunge tunakuwa haswa, bila kutambua kuna wanaume weak pia. Huyu bibie bahati nzuri au mbaya alipata mume mpole, inaonekana ali take advantage ya upole wake.
Angekutana na Mkali naona yeye ndie angeumia.
Nipo sister, miss you too!!Upo lovely brother? Miss you.
Weeeeee ngoja Heaven Sent akusikieWe acha kudanganya watu.
haha pasua kichwa huyo khaaWeeeeee ngoja Heaven Sent akusikie
Dk 3 nyingi kaishabadilika teh!haha pasua kichwa huyo khaa
Weeeeee ngoja Heaven Sent akusikie
haha pasua kichwa huyo khaa
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Dk 3 nyingi kaishabadilika teh!
Habari zenu wapendwa.
Leo kuna jambo limenigusa nikatamani sana kushare nanyi, haswa wanawake wenzangu(haswa wale midomo chuchunge)
Kuna baba ni jirani yangu amejiua baada ya kuhitilafiana na mkewe ( ilani tatizo la kipindi kirefu sana), kwakweli mwanamke ana kelele yule, akianza kumtusi mumewe majirani wooote mtasikia.
Sasa ikatokea mumewe akayumba kidogo kiuchumi, lakini mkewe hakutaka kuelewa na kumtuhumu kuwa ana michepuko(sina hakika kama kweli alikuwa nayo au la), hapo ndipo balaa lilipoanzia.
Mume akaamua kumshirikisha mkewe katika mapato yake, na wakafungua account ya pamoja, mke ndio mara nyingi alikwenda kudeposit pesa, ikatokea mume akapatwa na dharura ya kifamilia(kwao) akahitaji pesa, akamueleza mkewe kuwa anahitaji kiasi fulani cha pesa ili aende kwao, mke akaanza kelele.
Mume akaamua kwenda bank,cha ajabu akakuta account alotegemea ina zaidi ya milioni6 ina laki tu, akarudi kwa hasira na kumuuliza mkewe, akamjibu simple 'usinulize maswali ya kipuuzi',( haya ni maelezo ya rafiki wa mwanamke) ugomvi ulikuwa mkubwa hadi mume akaamua kuondoka nyumbani, na hakurudi mpaka kesho yake ilipofahamika kuwa mwili wake umekutwa nyumba ya wageni akiwa amejiua kwa kunywa sumu.
Jamani wanawake hii midomo yetu ina nini? Ni kwanini hatujifunzi kila siku!!!
Twapaswa kutambua kuwa tuna nguvu kubwa sana dhidi ya hawa wenzetu, mwanamke unauwezo wa kumfanya mwanaume masikini ajisikie na kujiona tajiri, lakini nguvu hiyo hiyo tukiitumia vibaya inaweza haribu kila kitu.
Tuwe basi watu wa kuwapa moyo na kuthamini wanachofanya hawa wenzetu, wanakazi kubwa sana na mzigo mkubwa sana walioubeba katika kuhakikisha tunapata mahitaji na mambo yote yanakuwa sawa. Tuwe faraja yao, tuishi katika misingi ya upendo,kujaliana na kuchukuliana kadiri ya mapungufu yetu.
Tujenge familia bora zenye misingi imara,maana watoto wetu sisi ndio role model wao wa kwanza(hii ni kwa wote wanaume na wanawake). Tusije shangaa watoto baadae wanakuwa watu wa ajabu ajabu kumbe wamerithi kutoka kwetu.
Muwe na usiku mwema.
Unajiua Ili iweje, hizo pesa atarudisha tu, la sivyo atajuta kwa nini aliolewa na Mkurya, maninaaaaaHabari zenu wapendwa.