Nguvu ya mwanamke

Nguvu ya mwanamke

Angekutana na mura huyu, hii habari ingegeuka.

Acha tu, hili somo zuri kwa kweli.
Mdomo chuchunge ulimponza bidada mwingine hivi.
Alipata mume mkimya halafu waliishi sehemu zinazosimamia sana haki za wanawake. Understanding that, akajifanya mjuaji kumkaripia mumewe mara kwa mara sababu analindwa na sheria. Kumbe mume anamlia timing.

Siku mume aka suggest waende nyumbani likizo, ambako sheria hazikazi sana.
Bidada nae kama kawaida, plus kukosa busara siku chache tu baada ya kufika wakawa wametoka, akamuwakia mume halafu mbele za watu, mume akajikausha. Walivyorudi kwao mbona mke aligeuzwa punching bag, jamaa alipiga kukosa watu kuingilia kati mdada angepata kilema. Halafu jamaa akaondoka, and the next thing mdada akawa served divorce papers. Hana hamu saa hii.

Siafiki kitendo cha huyo kaka lakini mdada alijitakia.
 
Duuuuh!!! Kwakweli mdomo uliponza kichwa, tujifunze tu kwakweli kabla dunia haijatufunza.

Na sijui kwanini wanawake wanaopata wanaume humble huwa wana midomo sana!!! Na huwa wanatake advantage, badala kushukuru basi wewe ndo wataka kuwa kichwa, mi sio mwanaume ila sipendi makelele jamani.
 
Nawe umekuja kunisingizia.

Tehe!..

Inashangaza kwa kweli, mwanaume akiwa mpole sio sababu ya kumkalia kichwani. Halafu sijui mtu unaanza vipi kumkaripia mtu mpole.
 
Inahitaji kujitoa ufahamu, ila ni kutokujitambua tu.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom