Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,815
Ndugu, maneno yake ya pesa humu ni kufurahisha ukumbi tu...
Kichwani zimemtulia huyu kiumbe.
Dah kwakweli aseeeh
Ndugu, maneno yake ya pesa humu ni kufurahisha ukumbi tu...
Kichwani zimemtulia huyu kiumbe.
Aaaaaah bana, raha ya jipu utumbuliwe banaNgoja nitajitumbua mwenyewe.
![]()
![]()
![]()





Alikuwa ngai yangu.Duh!mkuu mnafahamiana na huyu mleta post?
Usjali mrembo,nilikuwa nakuchemsha tu,maana siku hizi umenikatia fuse mamii.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hizi ni stress au nini ndugu!!!
Hapana Vale Atoto ni mtani wangu,namchemsha tu sababu siku hizi kanichunia yule mrembo.Mbona unakuaga mchokozi wewe?
Mi mdadaUbarikiwe maradufu mkaka...
Shukran nyingi kwakoKaribu shemeji.
Hii inahuzunisha sana! Mungu atusaidie wanawake kusimama katika nafasi zetu kama Mungu alivyokusudia! Pia tunapofanya maombi/ ibada tukumbuke kuomba rehema kwa ajili ya wanawake wenzetu ili Mungu atusamehe na kuturudusha ktk makusudi yake.Habari zenu wapendwa.
Leo kuna jambo limenigusa nikatamani sana kushare nanyi, haswa wanawake wenzangu(haswa wale midomo chuchunge)
Kuna baba ni jirani yangu amejiua baada ya kuhitilafiana na mkewe ( ilani tatizo la kipindi kirefu sana), kwakweli mwanamke ana kelele yule, akianza kumtusi mumewe majirani wooote mtasikia.
Sasa ikatokea mumewe akayumba kidogo kiuchumi, lakini mkewe hakutaka kuelewa na kumtuhumu kuwa ana michepuko(sina hakika kama kweli alikuwa nayo au la), hapo ndipo balaa lilipoanzia.
Mume akaamua kumshirikisha mkewe katika mapato yake, na wakafungua account ya pamoja, mke ndio mara nyingi alikwenda kudeposit pesa, ikatokea mume akapatwa na dharura ya kifamilia(kwao) akahitaji pesa, akamueleza mkewe kuwa anahitaji kiasi fulani cha pesa ili aende kwao, mke akaanza kelele.
Mume akaamua kwenda bank,cha ajabu akakuta account alotegemea ina zaidi ya milioni6 ina laki tu, akarudi kwa hasira na kumuuliza mkewe, akamjibu simple 'usinulize maswali ya kipuuzi',( haya ni maelezo ya rafiki wa mwanamke) ugomvi ulikuwa mkubwa hadi mume akaamua kuondoka nyumbani, na hakurudi mpaka kesho yake ilipofahamika kuwa mwili wake umekutwa nyumba ya wageni akiwa amejiua kwa kunywa sumu.
Jamani wanawake hii midomo yetu ina nini? Ni kwanini hatujifunzi kila siku!!!
Twapaswa kutambua kuwa tuna nguvu kubwa sana dhidi ya hawa wenzetu, mwanamke unauwezo wa kumfanya mwanaume masikini ajisikie na kujiona tajiri, lakini nguvu hiyo hiyo tukiitumia vibaya inaweza haribu kila kitu.
Tuwe basi watu wa kuwapa moyo na kuthamini wanachofanya hawa wenzetu, wanakazi kubwa sana na mzigo mkubwa sana walioubeba katika kuhakikisha tunapata mahitaji na mambo yote yanakuwa sawa. Tuwe faraja yao, tuishi katika misingi ya upendo,kujaliana na kuchukuliana kadiri ya mapungufu yetu.
Tujenge familia bora zenye misingi imara,maana watoto wetu sisi ndio role model wao wa kwanza(hii ni kwa wote wanaume na wanawake). Tusije shangaa watoto baadae wanakuwa watu wa ajabu ajabu kumbe wamerithi kutoka kwetu.
Muwe na usiku mwema.
AMINA.Hii inahuzunisha sana! Mungu atusaidie wanawake kusimama katika nafasi zetu kama Mungu alivyokusudia! Pia tunapofanya maombi/ ibada tukumbuke kuomba rehema kwa ajili ya wanawake wenzetu ili Mungu atusamehe na kuturudusha ktk makusudi yake.
Tema mate chini!!! Omba yasikukute!!Huyo mwanaume alikuwa nyoronyoro sana, siwezi kupelekeshwa kibwege namna hiyo na mwanamke.
nitamtelekeza hata nikaanzishe boma lingine potelea karibu.
Yanikute vipi sasa wakati siwezi kumpa mwanamke hiyo nafasi ya kuniendesha kama gari bovu!!Tema mate chini!!! Omba yasikukute!!
..Basi utakuwa Mume Mwema,..Dont judge a book by its cover.
Nimeshapitia tayari .....usiwaze sana.Nataman alopangwa kuolewa nami apitie hapa