nilifmania wife na babaang live, nkaend mbal il nicwaone. nkiwa naaso uko mzee m1 alnshaur nird na kufogiv?? i can't
Wewe ungezungumzia kusamehe tu basi hayo mengine ya mafanikio yanazua utata wa story yako.
Mkurugenzi gani anayeweza kujenga ghorofa, fuso mbili na biashara kwa kuchukua kiwandani in less than 9 months? Kama ni kweli basi kuna kitu nyuma yake kimejificha.
kwa hiyo usipowasamehe mama yako atafufuka! !? ? ? ?.mie napata somo hapa...ingawa mtihani mkubwa niliofaulu ni kueza kuwasamehe wajomba zangu waliosababisha kifo cha mamaangu....
everlenk mimi cmuhukumu baba na wala sinmuhukumu, hayo ni m.mungu!Pole sana,wewe si wa kwanza kupitia hayo hata huyu best yangu alipitia mambo magumu sana,njia yake haikuwa rahisi hata hiyo elimu kaipata kwa shida sana. Pamoja na yote tangaza msahama kwa baba yako hata kama haonyeshi nia,sisi wote ni wakosaji mbele za Mungu,wewe tangaza msamaha muachie Mungu kazi yake kuhukumu.
@Everlenk mada yako nzuri na inafundisha lakini sitokaa kamwe niisamehe ccm kwa upuuzi waliofanya huko dodoma!
Weee NANDERA huyu atasamehewa na mungu wake, sio mimi!
Nashukutu kwa katiba!
Honestly mimi masomo ya msamaha na yooote yahusuyo kuwapenda adui nayaaogopa coz nahisi hapo ndipo jehanam yangu ilipo so so currently nimekua sipendi hata kuyasikia. Kuna watu sidhani ka nitakuja kuwasamehe hivyo kuwachukulia kama ilivyokuwa awali......SIWAPENDI MAISHA!!!
Aisee muombe Mungu akusaidie usamehe. Mwambie Mungu, mimi siwezi naomba nionyeshe njia jinsi ya kuondokana na hili tatizo. Hakika utasamehe na utashangaa mambo yako mengi yanabadirika sana
Ni kweli pasipo nguvu ya Mungu msamaha ni mgumu. Lkn tuweke nia ya kusameheYeye asiyesamehe ni sawa na mtu ambae anakataa kubeba ubao, ambao akifika mtoni anaambiwa bila ubao uliouacha hutaweza kuvuka. Hivyo anapaswa kuurudia ili avuke.
Hakika everlenk Tunahitaji kumuomba Mungu atupe nguvu ya kusamehe, si rahisi, tunahitaji uwezo wake.
^^
Pole mkuu lkn omba neema ya Mungu ikusaidie kusamehe. Weka tu nia haijalishi unajisikiaje moyoni lkn mwambie Mungu akupe uwezo wa kusameheMungu anisaidie tuu kwakweli maana mmgh!
Alikuwa kitaani ghafla anapata ukurugenzi!!
Honestly mimi masomo ya msamaha na yooote yahusuyo kuwapenda adui nayaaogopa coz nahisi hapo ndipo jehanam yangu ilipo so so currently nimekua sipendi hata kuyasikia. Kuna watu sidhani ka nitakuja kuwasamehe hivyo kuwachukulia kama ilivyokuwa awali......SIWAPENDI MAISHA!!!