Kwangu..huu ndo uzi Bora tangu nijiunge JF.
Natamani sana kupata mtalaamu wa haya mambo, sio kwa theory ila ANAEYAWEZA KUYATENGENEZA!!!
Mshana Jr, @ Rakims
Nimefika... Nitakosaje kwa mfano kwenye mada kama hii!?Bila Mshana Jr, hii kitu hainogi kabsaaaaaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani mwacheni huyu mzee apumzike
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]Kuna mjingamhinga hapa ngoja nifanye mpango nimtoe kafara
Nalog off
Mshanara samahani mkuu nahitaji mazungumzo privert kidogo na wwKafara za ngono
Mafanikio, ukwasi, utajiri, umaarufu, nguvu na ushawishi husakwa kwa njia nyingi sana, halali na haramu Kwenye njia halali kuna Mungu mmoja tuu... Lakini kwenye njia haramu kuna miungu.... Sasa hapa inategemea mafanikio yako umeyapata kupitia mlango upi Tukiachana na yote hebu tujikite kwenye...www.jamiiforums.com
Kutoa kafara ni kanuni ya Ulimwengu wa roho ambayo ipo tangu kuumbwa kwa Mbingu na Dunia.
Na kanuni hiyo haitegemei kama kuna Agano au laa, Tangu mbinguni hadi kwa adamu, hadi Kaini na Abeli, hadi kwenye agano jipya na lile agano la Kale, kanuni hiyo imeonekana kuwepo.
Tena cha ajabu ni kwamba, kwa hiyo kanuni ya kutoa kafara, ndiyo imezaa Maagano kuwepo na kwa hiyo kanuni ya kutoa kafara, Maagano hufungwa.
Sadaka, Kafara, Zaka na Malimbuko ni Foundation Principles of Creation zifanyazo kazi nje au ndani ya agano. Maana hata hayo maagano yenyewe msingi wake uko katika hivyo vitu vitatu. Yaani Sadaka, Kafara na Matoleo
Sasa Kuna aina mbali mbali za Kafara, nazo hutofautiana Ubora na Nguvu yake. Na kafara zenye ubora zaidi ni zile zinazohusisha uhai. Na katika uhai, uhai wenye Nguvu zaidi ni ule uhai ambao unaokaa kwenye Damu, (Maana upo uhai wa Miti, na Mawe na Samaki, etc).Katika hao viumbe, Nguvu ya Kafara na thamani yake hutofautiana kutoka kiumbe hadi kiumbe.
Kwahiyo Mtu atakayefunga agano kwa kuchinja Ng’ombe, agano lake litakuwa na Nguvu zaidi kuliko yule aliyetumia Mbuzi kufunga agano. Na wa Mbuzi agano lake ni Kubwa zaidi kuliko aliyetoa Kuku.
Lakini katika viumbe vyote, Kafara ya mwanadamu ndiyo inayo thamani kubwa kuliko kiumbe yeyote aliyeumbwa.
Maana katika viumbe wote pamoja na Malaika, Mwanadamu ndiye kiumbe Bora kabisa kuliko wote aliyewahi kuumbwa na Mungu. Naam, Mwanadamu ni bora zaidi ya Malaika
Kwangu..huu ndo uzi Bora tangu nijiunge JF.
Natamani sana kupata mtalaamu wa haya mambo, sio kwa theory ila ANAEYAWEZA KUYATENGENEZA!!!
Mshana Jr, @ Rakims
KaribuMshanara samahani mkuu nahitaji mazungumzo privert kidogo na ww
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji144][emoji144]hakunaHakuna kafara ya mbu jamani? asante kwa elimu
Mkuu, ni lazima connection iwepo kati yako na yule unayetaka kumtoa kafara ili kafara ifanye kazi iliyokusudiwa.Kuna mjingamhinga hapa ngoja nifanye mpango nimtoe kafara
Nalog off